Amri 6 za uzinzi

Amri 6 za uzinzi

Ya 9.mpoteze maboya kama amekuset udakwe unampa option ya kuchagua chimbo then siku ya tukio ukikutana nae unabadilisha eneo chapu unachukua simu unazima hafu unapotea nae
Hii mbinu iliniokoa mwaka jana...mke wa jamaa ambaye tulipishana kwenye maswala ya pesa alimset mke wake waje kuniharibia (sikujua kabla ni mke wa mtu ) mpaka sasa najiona champion sababu ya hii mbinu!!
 
hakikisha unaongea na muhudumu kwa bahshishi(pesa) ili likitokea la kutokea aweze kukuokoa hata kwa kuita wananchi wakuchomoe mbwa mwitu wewee
 
Safi...mzgo ulikula?
Hii mbinu iliniokoa mwaka jana...mke wa jamaa ambaye tulipishana kwenye maswala ya pesa alimset mke wake waje kuniharibia (sikujua kabla ni mke wa mtu ) mpaka sasa najiona champion sababu ya hii mbinu!!
 
Ya 9.mpoteze maboya kama amekuset udakwe unampa option ya kuchagua chimbo then siku ya tukio ukikutana nae unabadilisha eneo chapu unachukua simu unazima hafu unapotea nae
[emoji3][emoji3] anajikuta katumika bila kupenda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom