AMREF Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

AMREF Tanzania

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Donard, Jun 20, 2011.

 1. D

  Donard Member

  #1
  Jun 20, 2011
  Joined: Jul 30, 2010
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu naomba kujua kuahusu pay ya hawa watu (AMREF Tanzania)? Siku hizi kuna International Organizations ambazo zinalipa chini kuliko hata our local companies. Kwa trend ya makampuni yetu sikuhizi naona ni muhimu mtu uwe na picha ya what you should expect kabla ya kupoteza muda kuandika applications na kuhudhuria interview(s) ...Wengine unafanya interview hata tatu! harafu mnafika mwisho ndo unagundua wanacholipa ni hela ya kujikimu.

  Someone who has ever worked with them pse? Graduate anawezapata say 2.5M kama take home?

  Natanguliza shukurani!
   
 2. kibakiking

  kibakiking Senior Member

  #2
  Jun 20, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  some time kaka inakuwa issue mtu kutagi mshahara wake mkubwa jaribu kufanya kwa mtu direct
   
 3. D

  Donard Member

  #3
  Jun 20, 2011
  Joined: Jul 30, 2010
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kaka lkn hata nikipata range say graduate yupo kati ya kiasi hiki mpaka hiki. Lakini pia km kuna m2 anamshikaji anawezanipa clue.
   
 4. K

  KABAZI JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2011
  Joined: Apr 19, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  sometimes net pay inaweza kuwa kubwa ila benefits kidogo nakushauri ulizia vyote!
   
 5. D

  Donard Member

  #5
  Jun 23, 2011
  Joined: Jul 30, 2010
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaka asante kwa kunikumbusha point muhimu!

  Jamani wakuu vipi? msaada kwa mwenye taarifa kuhusu hawa jamaa pse..
   
 6. L

  Leo De Gar New Member

  #6
  Jun 23, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu

  salaam! Ningependa mnidirectie kwenye vacancy inaoendana na course zangu za bagen maana natazamia kumaliza chuo mwishon mwa mwez ujao
   
 7. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #7
  Jun 23, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Wenzio waliomaliza bado wanasota.....kama upo UDSM mfate DR JAMBIYA au KENGERA........Kama umesoma project planning and menejment basi anzisha NGo
   
 8. J

  Joseph Zito Member

  #8
  Jun 23, 2011
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka unaomba scale ya salary hata hujaitwa kwa interview??
   
 9. s

  sugi JF-Expert Member

  #9
  Jun 23, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  tengeneza GPA,acha wenge
   
 10. V

  Vas P Member

  #10
  Jun 25, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kaka dont expect 2 get much while u have nothing!wanachuo wengi wanapokua vyuoni huwa na matarajio makubwa tofauti na hali halisi ilivyo mtaani...nakushauri tafuta kazi kwanza ukishapata ndio uangalie sehemu nyingine how they pay otherwise unapotafuta kazi ya mshahara wa 2.5m per month while c.v yako ina referees tu!utapiga picha na vyeti vyako nyumbani....
   
 11. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #11
  Jun 25, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Ndugu yangu mie nina kauzoefu, jambo ni muda sasa!
  Mwaka 2009 nilifanya interview ya programme officer- training hapo AMREF japo sikuipata kazi yenyewe lakini katika interview huwa wanakuuliza una swali gani kwetu (AMREF)....Mie niliuliza kwa kazi hii mshahara wake kiasi gani...walikuwa wagumu kutaja lakini mwishoni (HR wa AMREF) alikuwepo kwenye panel na kufungua kabrasha na kuniambia Gross ni mil 1,200,000 na take home nafikiri ni kama laki 9 hivi.....sasa hiyo ni 2009, sijui kwa 2011 kama kutakuwa na mabadiliko sana.....kila la kheri na ni kweli research kabla ya kuomba kazi ni muhimu sana.
   
 12. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #12
  Jun 25, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  IT IS an open market,

  if you want a job go, sell yourself and if you are stunning people will bend the rules for you.... kuuliza hapa kwaweza saidia kiasi but wont make you a better target au nini

  My advice, if you dont have a job nenda omba kazi fanya kazi hata kama unapata a little bit less na utapanda ukiwa ndani or utatafuta kwingine while ukiwa kazini

  Mshahara requirement umeharibu opportunity ya baadhi ya vijana recently
   
 13. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #13
  Jun 26, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,084
  Likes Received: 7,314
  Trophy Points: 280
  We nenda kwanza, mambo ya mshahara utayajua ukifika
   
 14. I

  Inze magayo New Member

  #14
  Jun 27, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa nijuavyo ni ngumu mtu kutaja anacholipwa
   
 15. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #15
  Jun 28, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  hiki ndio kilichokukosesha kazi

  AMREF njaa tupu hamna hela pale ni jina tu kubwa
   
Loading...