Ampiga mfanyakazi wake wa ndani baada ya kuvaa nguo inayo onesha hadi ndani

bakub.jpg

Mia
Hivi mia una uhakika na taarifa yako fuatilia hapa na pengine tunaweza kupata mwanga endelea.. Umugore yakubiswe izakabwana yambaye ubusa hafi no gushiramo umwuka, kubera ko yafashwe Asambanira imbere y’inzu y’ibigirwamana-REBA AMAFOTO | www.bwiza.com
 
Nadhani hiki ni kinyarwanda na Google haiwezi kutafwasiri. Tafadhali tujuze kwa anayejua lugha hii (BOFYA)
 
Mkuu kuikuta kwenye mtandao wa Rwanda haimanishi ndo ukweli. Waulize kwanza waloweka hiyo picha kwanini hawajaweka chanzo. Hiyo ya kusema wamekuta wanafanya mapenzi, je alikua anafanya peke yake? Watu wakikuta wanafanya mapenzi anayepigwa mara nyingi ni mwanaume sio mwanamke. Je una uhakika huyo anaye mpiga ni mumewe? ndo amvue nguo? Mia
 
I wish one could translate please. Mie sijasema pekundu, wala nilikuwa silijui. Lakini wewe umewezaje kuleta stori na picha ambayo si yako ukatuaminisha?
 
Ni wapi huko hapa bongo au??
Ningekua dume nisingempiga bali ningemsitiri na kumwacha aendeee
Pamoja na kuafiki siginacha yako msilolijua ni sawa na usiku wa giza hatari ninayoiona ni kulisha watu kitu ambacho huna uhakika nacho. Hii picha imetoka katika mitandao na ndugu yetu Mia anapingana na alipoitoa, je nani tumwamini? credibility!!!! (BOFYA)
 
Something wrong, haingii akilini unampiga mtu aliyevaa nusu utupu huku wewe unamvua kabisa, halafu hivyo vifaa vya kupigia sio sawa kabisa
 
I wish one could translate please. Mie sijasema pekundu, wala nilikuwa silijui. Lakini wewe umewezaje kuleta stori na picha ambayo si yako ukatuaminisha?
Hili ndo tatizo la kujifanya kujua. Hili ni jukwaa la picha kwanini unaniletea maneno maneo yako? Kama wajua kwanini hukuanzhisha thread? Usiniletee za kuleta Mwenye picha huyu hapa muulize. mia
 
Hili ndo tatizo la kujifanya kujua. Hili ni jukwaa la picha kwanini unaniletea maneno maneo yako? Kama wajua kwanini hukuanzhisha thread? Usiniletee za kuleta Mwenye picha huyu hapa muulize. mia
Ukiona manyoya..... Mia pole ndugu yangu kwa +nyekundu
 
Natii mkuu kwa kujiridhisha kuwa 'msj sent'. Wakati mwingine kumbuka ukitaka kuandika kitu JF, lazima uwe na uhakika na 'source' na ukubali kukosolewa.
Kipi ulichokosoa? kuweka link ya rwanda ndo kukosoa? Unajua walichoandika au unaleta shobo? mia
 
Back
Top Bottom