[emoji23][emoji23][emoji23] kwahali ya sasa, sioni kama kuna umuhimu wa ndoa maana hamsaidiani mnazugiana kwakuwa wote mmevunja zile vows zenu maana watu wanacheat mpaka unasema, siitaji kifungu au sheria iniambie niishi na mtu maana ni uhuni uhuni tu.Mwanamke wakumsaidia uliyefunga naye ndoa tu mjadala umefungwa,kila mtu aangalie hamsini zake[emoji123][emoji123]
Nimeshakwambia sister, wengi wanaoamua kumsomesha mwanamke sikwaajili ya kutaka kupendwa sana. Nope! Wengi hutaka kujenga maendeleo, ndio maana unaona pamoja na campaign nyingi zakutosomesha wachumba ila bado kuna watu wanafanya.Mnachofanya ni kitu kizuri sikupingi. Kumsaidia mtu ni jambo jema...
Ila unatakiwa uwe na akili kwamba ninavyomsaidia hivi sio guarantee aje kuwa mke wangu baadae au asikusaliti.
Pesa yako haitamfanya akupende zaidi..kama hakupendi ataendelea kutokukupenda haijalishi mapesa utakayomwaga. Na siku akimpata anayempenda atakuacha mchana kweupe.
So do it at your own risk.
Mkifanya hivyo kwa wake zenu ni sahihi.Ni kweli usemayo ila mwanamke uliyemuoa kumsaidia ni sawa,maana ni wako isapitishwa na viongozi wa dini,wanawake wa siku hizi wanatumia mnzuri wao kutafuta pesa,anaweza akaupa maneno manzuri sana unajikuta unampa pesa kibao,mwisho wa siku anakubwaga,nimejifunza sana nikitaka kumsaidia mwanamke nampa tu kama msaada
Kama lengo sio kuongeza upendo inakuaje akisalitiwa apanic na wengine kuua?Nimeshakwambia sister, wengi wanaoamua kumsomesha mwanamke sikwaajili ya kutaka kupendwa sana. Nope! Wengi hutaka kujenga maendeleo, ndio maana unaona pamoja na campaign nyingi zakutosomesha wachumba ila bado kuna watu wanafanya. Mwanamke mara nyingi huwaza kesho na leo yake tu ila mwanaume ukiwaza hivyo😂😂😂😂 familia itakushinda kuiendesha. Siku ukiwapata waliofsnyiwa hivyo, kaa chini uwasikilize utajua lengo sio kuongeza upendo wala kuhonga bali anaanza kukaza nati za stable family kwasababu anaplan ahead of time.
😂😂😂 haya sista, mimi hivyo vitu sijapitia hivyo siwezi elezea zaidi. Ila mwisho wa yote inakupa mwangaza kuwa ndoa is overrated.Kama lengo sio kuongeza upendo inakuaje akisalitiwa apanic na wengine kuua?
Wengi leo Lao ni kudumisha mapenzi, wanaamini kuwa bila pesa hawatapendwa. Wanaofanya kwa kusaidia ni wachache.
Na wengi tu tunawaona baada ya penzi kuisha wanadai zawadi zote kubwa walizozitoa...kama ni simu, gari na vingine vingi wanaenda kuvidai.
Hujawahi kuwasikia wa namna hiyo?
Kumsomesha mwanamke siyo tatizo, kama lengo lako ni kumsaidia huyo mwanamke ili aweze kujitegemea.Sms za jamaa hizi hapaView attachment 2406121View attachment 2406123
Ni muhimu wanawake wa Sasa, waepuke msaada wa kusomeshwa ili wawe huru kuamua wanavyoona inafaa.Sms za jamaa hizi hapaView attachment 2406121View attachment 2406123
Mkisaidiwa shida,tukiwanyima misaada nayo pia shida,sijui Wanawake mnataka nini!? Pesa au Six pack!!??Mnajiendekeza tu. Tumieni akili zaidi kuliko hisia.
Sisi hatuna shida, tunataka mtusaidie.Mkisaidiwa shida,tukiwanyima misaada nayo pia shida,sijui Wanawake mnataka nini!? Pesa au Six pack!!??
Sasa na wwe Kama humpendi Mtu from inside,kwa Nini uni bebishe kwake na mapenzi Moto Moto,si umwambie ukweli kuwa wwe si kupendi K nakuuzia tu,ili ajuwe Kama anakaa au anasepa zake!!??Mnachofanya ni kitu kizuri sikupingi. Kumsaidia mtu ni jambo jema...
Ila unatakiwa uwe na akili kwamba ninavyomsaidia hivi sio guarantee aje kuwa mke wangu baadae au asikusaliti.
Pesa yako haitamfanya akupende zaidi..kama hakupendi ataendelea kutokukupenda haijalishi mapesa utakayomwaga. Na siku akimpata anayempenda atakuacha mchana kweupe.
So do it at your own risk.
Mapenzi hayapo hivyo na unaelewa.Sasa na wwe Kama humpendi Mtu from inside,kwa Nini uni bebishe kwake na mapenzi Moto Moto,si umwambie ukweli kuwa wwe si kupendi K nakuuzia tu,ili ajuwe Kama anakaa au anasepa zake!!??
hapa sioni sheria ya ndoa inahusikaje? sheria ya ndoa itahusika wakiiona.Shida pengine kwenye ahadi AHADI au MAAGANo yao ndo shida Kuna umuhimu Sheria za ndoa ziangaliwe upya itasaidia pengine
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Kakosea😂Kwani kakosea[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanakuwaga washamba au malimbukeni wa mapenzi.Kuweka matarajio kwa mwanamke ni moja ya uwekezaji wa ovyo zaidi unaofanywa na wanaume wapumbavu ambao hulipa gharama kwa kujifunza mapenzi kwa njia ngumu sana.
Sawa kamuua je nayeye atabaki na amani hapa duniani? Hiyo inakuwa sio tiba yule sawa kafa wewe huku unabaki unateseka labda nawe ujiue kabisaKuna vitu wanawake huwa wanajitafutiaga tu kama upendi kusomeshwa bs sema mapema acha kutumia ghrama za msela ujui
Anapataje pesa zake kukusomesha wewe
Nia yake ni baadae awe mke msomi
Lkn kumbe kuna boya huko anakula mzigo kizembe nadhani amelipwa kwa zinaa alizofanya huyo demu mwache afe tu mm
Siwez kuhuzunika.
Ni kweli unavyosema, ndoa hailazimishwi. Sasa basi, uwe muungwana na uweke kila kitu bayana. Umwambie mpenzi wako kuwa unaona ile mipango ya kuoana haitakuwepo/haitawezeka na umpe sababu.Mapenzi hayapo hivyo na unaelewa.
Unaweza ukampenda mtu vizuri ila baadae unaona huyu hakufai kutokana na sababu mbalimbali.
Sasa huwezi nilazimisha nisikuache kisa tu umenisomesha. Nakuacha naenda kwa ambaye ana muelekeo ninaoutaka.
Ujinga wao halafu unakuta yeye mwenyewe kaishia STD seven lakini kakazana kusomesha mtoto wa mtu wakati ndugu zake wanalala njaa.Ukimsomesha makosa ni yako sio ya kwake. Mke mwenyewe hasomeshwi sembuse mpenzi tu?
Ni kwamba huwa hamsikii kila siku wanasema mchumba hasomeshwi? Au inakuaje
Unayosema ni sawa. Lakini kwa nini aendelee kula mali zake huku hana hisia nae. Si aende huko kwenye hisia zake zinamwelekeza!Narudia tena kama mwanamke hana hisia na wewe ata ujitolee nini kwake hatojali msaada wako yani ata umpe figo yako kama hisia zake hazipo kwake ni kazi bure
Kulipwa hutalipwa hasara ni kwako. Ukitaka kulipwa muandikishane kabla ya kumsaidia.Ni kweli unavyosema, ndoa hailazimishwi. Sasa basi, uwe muungwana na uweke kila kitubayana. Umwambie mpenzi wako kuwa unaona...