Inaleta picha mbaya lakini kwa mimi X wangu Mwanawe ana jina kama langu lakini hatukuachana kwa ubaya ila haikua rizk mie kuolewa na yeye,na kwa upande wake anasema jina langu analipenda sio eti sababu nnaitwa jina hilo ila roho yake imelipenda hilo jina...na mkewe anajua lakini sioni kama ni tatizo kwake amelichukulia kama jina la kawaida..
Mamangu mzazi najua unanipenda na mimi nakupenda sana pia lkn kulingana na mabinti wa siku hizi walivyo utanisamehe maana nitachelewa kukuletea mjukuu mapema tofauti na matarajio yako sitaki kufanywa kama jamaa huyu.
yule haniabudu bwana wewe tu ulifananisha sura vibaya mimi pale napiga magoti kabisa hahahah wacha tu mjini hapanamuona anchungulia, lakini yule "anayekuabudu" sasa humtaki tena? Naogopa kuja kuamulia kesi!
yule haniabudu bwana wewe tu ulifananisha sura vibaya mimi pale napiga magoti kabisa hahahah wacha tu mjini hapa
Asante sana. Thank you. Danke.So stupid!
kwa stahili hii mie nahama jukwaa bora nirudi intellijensia na akina Kiranga.
kila siku mambo hovyo hovyo ooh shit!
lakini kosa hapo ni la mume kwann nasema ni la mume?
alikuwa wapi hadi mtoto achaguliwe jina na mama?? na kama walijadili why didn't he question about it??
nimezaa midume mitupu na katika hao nimewapa majina mimi ila huzzy kila jina alikuwa naniuliza kwann tuite hivi??
mmoja nilimwamia kabisaa huyu Mungu kamchagua awe wetu so nikamwita kwa jina hilo mwingine nikasema huu ni ushind hasa nikizingatia tulikopita akasema kweli mwingine nikasema hapa mungu katuzawadia na akawa hivyo nk so mume na mke wanatakiwa wajadili juu ya jina la mtoto na litolewapo lazima liwe ambalo halina ukakasi maskion mwenu.
sasa unakuja kulialia mwanaume mzima ili nini Tetra mwambie huyo kaka achukue BC ya huyo mtoto aende mahakaman akaape kumbadilisha jina tena with 4 yrs litasahaulika kabisa kabisa manake kama hana amani nalo analia inaweza ikamjengea chuki kwa mtoto.
mimi saa hizi ungenikuta niko RITA natafuta cheti kingine cha kuzaliwa hata kama ni kwa kuhonga chenye jina jingine na la ubatizo nafuta kila kitu b4 hajaanza shule.

hongera kwakuenziwa mama hngera sana ,mimi mtoto wangu atapata jina la mtakatifu yoyote lililoandikwa kwenye kkitabu kitakatifu cha imani yangu haya yakuokota kwa ma-x sory soryinaleta picha mbaya lakini kwa mimi x wangu mwanawe ana jina kama langu lakini hatukuachana kwa ubaya ila haikua rizk mie kuolewa na yeye,na kwa upande wake anasema jina langu analipenda sio eti sababu nnaitwa jina hilo ila roho yake imelipenda hilo jina...na mkewe anajua lakini sioni kama ni tatizo kwake amelichukulia kama jina la kawaida..
Women are better in life but imperfect match in marriage is that which exaggerates problems
Nitajitahidi kutumia uwezo wangu wa kushawishi maana jamaa hajui hata sasa ili abadili jina.
gfsonwin
Usihame jukwaa Hekima kama hizi tutazitafuta kwa tochi.I beg you
Relax.Enjoy,,tabasamu ur the winner
asante sana Tetra ila hli jukwaa toka juzi usiku lina niliza tu leo kuna mwingine mie niko bize hapa na ma kemia nashangaa Nivea ananiita kwenda eti anamuona mchumba wake mshamba kwasasa, wakati mchumba kamsomesha akiwa yatima na ndiye anayemtunza hadi leo sasa kapata sharbaro anaona ndio wanaendana anataka kumpiga chini mshamba. uwiiiiiiiiiiiiiiiiiii sijui nimelia sana hakya Mungu mie nina watoto 4 muulize cacico na snowhite nikiyaona haya naskia uchungu mpaka natamani kuhama dunia hii nikaish nyingine.
wanawake ni viumbe hatari sana wakati mwingine;kuna dada mmja alikuwa ana uhusiano wa kimapenzi na mtumishi mmja (mchungaji) sasa basi ilipokaribia kufunga ndoa yao alimlazimisha mume wake yule kufa na kupona lazima mchungaji awe msimamizi wa ndoa yao na kweli yule mchungaji ilibidi aite mchungaji mwingine aje kufungisha ile ndoa yeye akawa msimamizi.i can recall sijui huyu dada alimaanisha nini mpaka leo nikimwona huwa na:frusty: sipati jibu nndio aalimuenzi au la!!
Kila mtu na uwamuzi wake na mapendekezo yake,na vile vile majinamwengine hufanana...anaweza kuamuita jina la bibi yake au la mtu wake wa karibi na likawa sawa na lakwako sasa wengine watadhani umetajwa wewe kumbe wala sio wewe..promiseme
Kumbe mkiachana kwa wema si vibaya kutoa jina la X?