Ampa first born jina la Ex wake!!

Vipi ikitokea coincidence kwa mfano umepata mtoto wa kiume halafu mume wako anapendekeza (bila kujua) apewe jina la ex bf wako? Unalikataa au unafanyaje?
 

Heeee, KakaKiiza alikuachia maumivu kumbe?!
 
Last edited by a moderator:

Niache kuwaenzi wale walionitendea mema kwa kupoteza muda wao au pesa zao au chochote kile kwa ajili yangu niende kuwaenzi wapuuzi walioutesa moyo wangu? Siwezi fanya hivi hata kidogo. Nitawasamehe lakini si kuwaenzi!!!
 

Huyo wa asbh hii snowhite hata mimi alinikera lol!
 
Last edited by a moderator:
Mimi nina principle moja:

- Sitamruhusu mke wangu kuchagua jina la mtoto wangu wa kiume (labda TU liwe la baba yake).:nono:
 
It's not fare at all.....Kama kumwezi X ni bora ukabaki bila kuoa/kuolewa ili ukipata mtoto ktk mapito yako umpe majina ya X's wako.....Kama ulimpenda sana na alikupenda ni wazi mngeoana.
 
Mimi nina principle moja:

- Sitamruhusu mke wangu kuchagua jina la mtoto wangu wa kiume (labda TU liwe la baba yake).:nono:

nashkuru sasa angalau umenitamkia kuwa utaoa mdogo wangu!
ahsante!
tunaweza kuanzia hapo juu ya ile battle yetu kuwa,nampata wapi wa aina hii?
pamoja na haya yooote yoote bado good girls wapo!na hakika utampata!
 
Hivi sijielewi ndo kaniacha??

Inawezekana Nivea kakuacha. Ndo maana anataka kukuenzi kwa kutoa jina lako kwa mwanae anayefuata. Sikujua kama wewe ni shemeji yangu, lol!
 
Last edited by a moderator:
heeee, kakakiiza alikuachia maumivu kumbe?!
usinikumbushe kaka yangu alafu eti akataka akajilipue kwa amu na nina wasiwasi huyu ndio yule Aliyemyang'anya lecture tonge lake mdomoni by specification za amu ni KakaKiiza mtupu baada tu ya bday ya Paloma mambo yaliniharibikia nikajiweka pembeni kuepusha msongamano
 
Last edited by a moderator:
siwezi kufanya huo upumbavu ht kidogo.......yeye amekuwa nani hadi nimuenzi kwa kumpa mtoto jina lake.
km majina yameisha ni heri nimpe ht jina langu ni heri ionekane kuwa mama na mtoto tuwe na majina ya kufanana lkn si kumuenzi eti sijui ndo mpenz wa zamani sijui ndo kidumu.......aaaaaaaaaaaaaah, nachukia sana mm.
 
Mimi nina principle moja:

- Sitamruhusu mke wangu kuchagua jina la mtoto wangu wa kiume (labda TU liwe la baba yake).:nono:

Haa Mentor! Women are powerful,,ukipigwa busu,ukageuzwa ubavu,ukakapapaswa utosini utajikuta unasema "GO AHEAD honey I trust you"
ha ha ha
 

Vipi kama mliachana kwa wema?
 
Inaleta picha mbaya lakini kwa mimi X wangu Mwanawe ana jina kama langu lakini hatukuachana kwa ubaya ila haikua rizk mie kuolewa na yeye,na kwa upande wake anasema jina langu analipenda sio eti sababu nnaitwa jina hilo ila roho yake imelipenda hilo jina...na mkewe anajua lakini sioni kama ni tatizo kwake amelichukulia kama jina la kawaida..
 
HAHAHAHAH UNAMUONA ANAVYOCHUNGULIA HAPO JUU NIJIBU!!!!!!πŸ˜›eep:πŸ˜›eep:

Namuona anchungulia, lakini yule "anayekuabudu" sasa humtaki tena? Naogopa kuja kuamulia kesi!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…