Amos Makalla Jitafakari na utimize yote unayoanzisha

Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
13,226
26,048
Umetoa maagizo juu ya machinga halafu huyafuatilii.

Hali iliyoonekana inaanza kuwa Nzuri inaanza kuharibika tena!

Watu wanarudi barabarani na kuanza kupanga bidhaa na kuacha uchafu tena.

Mbezi, Posta, Mwenge na Kkoo hali inaanza kurudi kama huko awali!

Nimepita Baridi Leo Posta nimekuta uchafu uleule unaanza kurudi tena, nimeenda Mbezi nako hapafai!

Kama hamziwezi izo kazi semeni, kuanzia wewe, Wakuu wako wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri.

Watanzania wanaotoa maagizo na kuyasimamia utekelezaji wake bila kuchoka wapo wengi sana
 
Ccm hakuna MTU competent. Let's be honest na wale ambao ni wachache wanaojitambua kamwe hawawezi kupewa nafasi. Ili upewe madaraka CCm lazima uwe muongo mnafiki. Mzandiki na mengineyo yaani usitumie akili yako
 
Umetoa maagizo juu ya machinga alafu huyafuatilii.

Hali iliyoonekana inaanza kuwa Nzuri inaanza kuharibika tena! Watu wanarudi barabarani na kuanza kupanga bidhaa na kuacha uchafu tena.

Mbezi, Posta, Mwenge na Kkoo hali inaanza kurudi kama huko awali!

Nimepita Baridi Leo Posta nimekuta uchafu uleule unaanza kurudi tena, nimeenda Mbezi nako hapafai!

Kama hamziwezi izo kazi semeni, kuanzia wewe, Wakuu wako wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri. Watanzania wanaotoa maagizo na kuyasimamia utekelezaji wake bila kuchoka wapo wengi sana
Mgambo wa jiji ndiyo wanapiga pesa kwa sasa.
 
Namshauri mkuu wa Mkoa wa DSM kama ameshindwa hili zoezi la kuwaondoa hawa machinga basi ni bora aachie ngazi.
 
Mhe.Makala anawaondoa kistaarabu mnakejeli, Akiwapa SUMA JKT wawaondoe kwa Virungu maeeeeeee Makala Dikteta afukuzwe. Wanadamu Vigeugeu mnooo nyie
 
Umetoa maagizo juu ya machinga alafu huyafuatilii.

Hali iliyoonekana inaanza kuwa Nzuri inaanza kuharibika tena! Watu wanarudi barabarani na kuanza kupanga bidhaa na kuacha uchafu tena.

Mbezi, Posta, Mwenge na Kkoo hali inaanza kurudi kama huko awali!

Nimepita Baridi Leo Posta nimekuta uchafu uleule unaanza kurudi tena, nimeenda Mbezi nako hapafai!

Kama hamziwezi izo kazi semeni, kuanzia wewe, Wakuu wako wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri. Watanzania wanaotoa maagizo na kuyasimamia utekelezaji wake bila kuchoka wapo wengi sana
Umesema kweli yaani wameshindwa mapema pamoja na mbwembwe kibao.
 
Ccm hakuna MTU competent. Let's be honest na wale ambao ni wachache wanaojitambua kamwe hawawezi kupewa nafasi. Ili upewe madaraka CCm lazima uwe muongo mnafiki. Mzandiki na mengineyo yaani usitumie akili yako
Pale mtu akiwa mchapa kazi wa kweli anapigwa majungu.

Bila uzandiki huwezi kudumu kwenye kazi yako pale
 
Lord denning nakusalimia kwa Jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania 😍🇹🇿👍
 
Pale mtu akiwa mchapa kazi wa kweli anapigwa majungu.

Bila uzandiki huwezi kudumu kwenye kazi yako pale

Kama alivyopigwa majungu Dr Slaa kule chadema halafu aliyeitwa fisadi Lowasa akakumbatiwa na kupewa nafasi ya kugombea urais

Wacha KAZI IENDELEE
 
Ccm hakuna MTU competent. Let's be honest na wale ambao ni wachache wanaojitambua kamwe hawawezi kupewa nafasi. Ili upewe madaraka CCm lazima uwe muongo mnafiki. Mzandiki na mengineyo yaani usitumie akili yako
Jamaa ametoa hoja safi wewe unaleta vyama,hivi unafikiri kupiga porojo jukwaani ndio kujua kuongoza
 
Umesema kweli yaani wameshindwa mapema pamoja na mbwembwe kibao.
Wanashindwa kuwa consistency wakati Mama alishasema Watanzania wanaoweza kufanya izo kazi wanazofanya saivi sio kwamba hawapo! Wapo sana na wanasubiri wapewe ili wazifanye vizuri
 
Tatizo wanachotafuta wao ni kiki tu hakuna moyo wa dhati wa kufanya hizo kazi.
 
Mhe.Makala anawaondoa kistaarabu mnakejeli, Akiwapa SUMA JKT wawaondoe kwa Virungu maeeeeeee Makala Dikteta afukuzwe. Wanadamu Vigeugeu mnooo nyie
Kabisa mkuu,
Ila nadhani baada ya tarehe 30 kupita ilibidi afanye tathmini sasa ili ajue alipofaulu na alipofeli.
Azunguke jiji lote kwa siku moja au mbili(,yeye si ana king'ora) anapasua tu njia kujionea hali ilivyo
 
Hivyi Makala ni kiongozi wa kuongeza jiji la Dar?
Heri wangempeleka Njombe au Rukwa ndo saizi yake.
Ila kwa sababu ni swahiba wa Msoga basi.
 
Watu mnaongea utadhani hiyo kazi ni rahisi. mimi kwa upande wangu nampongeza sana Makala amepambana mno, tatizo lililopo ni unafki wa serikali kwa wakubwa wa wakuu wa mikoa. ni kama wao hawataki kuchafuka wamewaachilia ma RC wapambane wenyewe.

Hata apewe nani hii kazi hataiweza kwa sababu njia zinazotumika ni za muda mfupi za kuzima moto. serekali ingekua kweli na nia wangeanza taratibu kuanzia kwenye sera za kiuchumi, kufufua kilimo nakadhalika
 
True..

Watu hawataki kuchafuka..RC anakuwa katikati hajui akifanya hivi atamkera mkubwa wake au la..

Tuna viongozi dhaifu kweli..Hawa wamachinga ilibidi jeshi la polisi litembeze virungu kweli kweli kwa wanaokaidi..na kufanya surveillance ya maana kwenye hayo maeneo..atakayerudi ni kibano..Watz waoga wangetafuta njia nyingine

Mikoani huku nguvu kidogo tu ila Dar lazima itumike nguvu na wakuumia waumie..

Sasa hii kubembeleza inaonyesha tuna viongozi incompetent kina eneo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom