Amos Makalla atoweka kwenye ulimwengu wa siasa

Huyu alipokuwa RC wa Mbeya niliwahi kumuonya kwamba atumie cheo chake kutenda haki, maana ni haki pekee itakayofanya akumbukwe na kuacha alama kwenye utumishi wake lakini akanipuuza, akashirikiana na RPC Mpinga kudhulumu haki za watu kwa manufaa ya CCM, ametumika sana kukamata wanachama na viongozi wa Chadema kwa kushirikiana na Mpinga, kwa faida ya WanaJF na wengine ile hukumu ya kifungo cha Mbunge wa Mbeya Mjini iliandikwa na Amos Makalla akishirikiana na Mpinga nje ya Mahakama.

Baada ya watu wa Mbeya kumlilia Mungu wao, Amos Makalla ametoweka kwenye macho ya siasa za Tanzania. Huyu alishafika ngazi ya juu kabisa ya uongozi wa CCM makao makuu ambapo alikuwa Mweka hazina wa chama, akatumia hela za CCM kufadhili bendi kadhaa ikiwemo FM Academia.

Wewe Katibu Kata, sijui mwenyekiti wa Mkoa jiangalie, Mtumieni Makalla kama somo la kujifunzia.

Anayefuatia ni Chalamila.
Acha uongo, Amos Makallah hawezi kuandika hukumu si mwanasheria
 
unayajua maagizo kutoka juu ?
Unapenda kujifanya unajua kumbe ni mtupu kichwani, hii inajidhihirisha kwa kila wakati kujiona upo right. Lazima tukurudishe where you belong! Ukiona mtu anatukana katika mijadala jua ni mwepesi tu kichwani na stories za vijiweni. Pole sana
 
Huyu alipokuwa RC wa Mbeya niliwahi kumuonya kwamba atumie cheo chake kutenda haki, maana ni haki pekee itakayofanya akumbukwe na kuacha alama kwenye utumishi wake lakini akanipuuza, akashirikiana na RPC Mpinga kudhulumu haki za watu kwa manufaa ya CCM, ametumika sana kukamata wanachama na viongozi wa Chadema kwa kushirikiana na Mpinga, kwa faida ya WanaJF na wengine ile hukumu ya kifungo cha Mbunge wa Mbeya Mjini iliandikwa na Amos Makalla akishirikiana na Mpinga nje ya Mahakama.

Baada ya watu wa Mbeya kumlilia Mungu wao, Amos Makalla ametoweka kwenye macho ya siasa za Tanzania. Huyu alishafika ngazi ya juu kabisa ya uongozi wa CCM makao makuu ambapo alikuwa Mweka hazina wa chama, akatumia hela za CCM kufadhili bendi kadhaa ikiwemo FM Academia.

Wewe Katibu Kata, sijui mwenyekiti wa Mkoa jiangalie, Mtumieni Makalla kama somo la kujifunzia.

Anayefuatia ni Chalamila.

Kwani lazima afanye kazi za siasa? Kama vipi aende kulima tujue moja
 
ccm ni kikundi cha magaidi na afadhari hata magaidi ndio maana wameanza kunyimwa visa na mabeberu
 
Unapenda kujifanya unajua kumbe ni mtupu kichwani, hii inajidhihirisha kwa kila wakati kujiona upo right. Lazima tukurudishe where you belong! Ukiona mtu anatukana katika mijadala jua ni mwepesi tu kichwani na stories za vijiweni. Pole sana
Jf haijawahi kuruhusu matusi , ni wapi nimekutukana ? nimekuonya kwamba kama hujui nyamaza , hilo ni tusi ? na ninao uhakika kwamba hujui kilichojiri kwenye kesi ya Sugu , vinginevyo usingethubutu kutia pua hapa
 
Upo mweupe nakuacha, huwezi Sema hukumu aliiandaa Amos Makallah
 
Unapenda kujifanya unajua kumbe ni mtupu kichwani, hii inajidhihirisha kwa kila wakati kujiona upo right. Lazima tukurudishe where you belong! Ukiona mtu anatukana katika mijadala jua ni mwepesi tu kichwani na stories za vijiweni. Pole sana
Mbona hueleweki? Au ndio insha za lumumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu alipokuwa RC wa Mbeya niliwahi kumuonya kwamba atumie cheo chake kutenda haki, maana ni haki pekee itakayofanya akumbukwe na kuacha alama kwenye utumishi wake lakini akanipuuza, akashirikiana na RPC Mpinga kudhulumu haki za watu kwa manufaa ya CCM, ametumika sana kukamata wanachama na viongozi wa Chadema kwa kushirikiana na Mpinga, kwa faida ya WanaJF na wengine ile hukumu ya kifungo cha Mbunge wa Mbeya Mjini iliandikwa na Amos Makalla akishirikiana na Mpinga nje ya Mahakama.

Baada ya watu wa Mbeya kumlilia Mungu wao, Amos Makalla ametoweka kwenye macho ya siasa za Tanzania. Huyu alishafika ngazi ya juu kabisa ya uongozi wa CCM makao makuu ambapo alikuwa Mweka hazina wa chama, akatumia hela za CCM kufadhili bendi kadhaa ikiwemo FM Academia.

Wewe Katibu Kata, sijui mwenyekiti wa Mkoa jiangalie, Mtumieni Makalla kama somo la kujifunzia.

Anayefuatia ni Chalamila.

Wewe endekeza majungu fitna RC anawezaje kuandaa hukumu . Hoja yako Hazina mashiko jiandae kisaikolojia
 
Amos makalla aliondolewa U RC Katavi kwa mkoa wake wa Katavi kuwa wa mwisho kwenye uuzaji vitambulisho vya wajasiriamali si maombi ya wanambeya- Jamaa namuona anadunda mjini na biashara zake hana shida wewe kaa na njaa zako humu kutunga uongo sasa jiandae Tulia anachukua jimbo
 
Malipo yanaanzia hapahapa duniani na kuhitimishwa kwa moto wa jehanamu milele na milele.
 
Back
Top Bottom