PreGE2025 Amos Makalla: Achaneni na Propaganda za "No reform", Uchaguzi upo, msidanganyike

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,177
Reaction score
7,472

Katibu wa NEC, Itikadi Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA. Amos Makalla akizungumza na Wanachama maeneo ya Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam, alipokuwa kwenye mkutano na Mabalozi, Viongozi wa Kata, Madiwani na Wabunge wa Wilaya ya Kinondoni.

Makalla amewataka Watanzania kupuuza madai ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwamba uchaguzi hautafanyika bila mabadiliko ya mfumo wa Uchaguzi na kuongeza kuwa kama wapinzani hao watabaki na msimamo wao katika Uchaguzi wa 2025 inamaanisha baada ya hapo chama hakitakuwepo.

Video: Global TV
 
Nyieee chukulieni kama tunatania. CHADEMA tunamaanisha kwa hili tofauti na hapo jeshi litasimamia nchi.

CCM mjiamini basi si mnawafuasi wengi
 
Katibu wa NEC, Itikadi Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA. Amos Makalla akizungumza na Wanachama maeneo ya Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam, alipokuwa kwenye mkutano na Mabalozi, Viongozi wa Kata, Madiwani na Wabunge wa Wilaya ya Kinondoni.

Makalla amewataka Watanzania kupuuza madai ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwamba uchaguzi hautafanyika bila mabadiliko ya mfumo wa Uchaguzi na kuongeza kuwa kama wapinzani hao watabaki na msimamo wao katika Uchaguzi wa 2025 inamaanisha baada ya hapo chama hakitakuwepo.

Video: Global TV

Makalla kwa lugha yakwao, ni makapi. Tuwapuuze watu ambao wana nusu akili, kama huyu Makala.
 
Chama kimeshatoa maelekezo ili uchaguzi uwepo nini kifanyike, masaa, siku, wiki, miezi, inazidi kusonga mbele jambo la kufanya ni mamlaka husika ifanye REFORM inayoombwa na CHADEMA uchaguzi uendelee kama kawaida
 
UCHAGUZI GANI??? HUU?!!!👇TUTAUZUIA!!
 
Sasa Tunaona Dhahiri CCM Imeingia Kwenye Mtego Kama Wakati Ule Wa Maandamano
  NiiMI bona slogan anajipa promotion si akae kimya tu.
 
Hivi ninyi CCM hamna jambo lolote la kuzungumza zaidi ya No reform no election ya chadema.!?

Hakuna lingine zaidi ya kutunza na kulinda AMANI! ?

Hakuna lingine zaidi ya Mama, mama, mama kama mnanyonya..!?

Kama CCM hamna points za kuongea Kwa wananchi muwe mnatembea na Ilani basii muwe mnawasomea wananchi.
 
Back
Top Bottom