Jospina
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,421
- 1,387
AMMY NINJE ATHIBITISHWA KUWA MKURUGENZI WA UFUNDI TFF. KAMATI NDOGO ZAFANYIWA MABADILIKO
Kamati ya Utendaji iliyokutana Jumamosi Oktoba 20, 2018 Makao Makuu ya TFF, Ilala jijini Dar ilipitia masuala mbalimbali ikiwemo kumthibitisha Ninje na kimepitisha mabadiliko kwenye kamati za TFF
Nafasi ya Ninje ilikuwa ikikaimiwa na Oscar Mirambo atakayeendelea na jukumu lake la Afisa Maendeleo wa Soka la Vijana
Kamati ya Nidhamu; Kiomoni Kibamba(Mwenyekiti), Peter Hella(Makamu Mwenyekiti), Kassim Dau(Mjumbe), Handley Matwenga(Mjumbe) na Twaha Mtengera(Mjumbe)
Kamati ya Rufaa Maadili; Richard Mbaruku(Mwenyekiti), Thadeus Karua(Makamu Mwenyekiti), Mussa Zungu(Mjumbe), ASP Benedict Nyagabona(Mjumbe) na Lugano Hosea(Mjumbe)
Kamati ya Uchaguzi; Malangwe Ally(Mwenyekiti), Mohamed Mchengela(Makamu Mwenyekiti), Benjamini Karume(Mjumbe), Mohamed Gombati(Mjumbe) na Hamisi Zayumba(Mjumbe)
My Take:
Hivi out of 50M Tanzanians hakuna watu wa kushika hizi nafasi?? Kila siku tunazunguka ktk watu hao hao??