Nimesoma replies ila what I have not seen ni mjadala kuhusu age difference ya hawa watu wawili.
Huyu binti ana miaka 24 na allegedly amekua kwenye uhusiano na huyo married man for over 8 years, which means jamaa alianzisha huu uhusiano binti akiwa na miaka 15 au 16 (most likely alianza kumtamani na kummendea hapo kanisani akiwa na umri mdogo chini ya hapo).
View attachment 3562715
We don't talk enough about grooming and sexual abuse kwenye jamii zetu za kiafrika. Wanaume kama Elvis wanaoanzisha mahusiano na mabinti wadogo huwa wanajisikia ni kama wanawamiliki na hawakubali kuachwa.
This whole situation is very sad for the parties involved (the wife, watoto wa huyo jamaa na binti aliyetaka kuuliwa).