Amlazimisha mme wake aoe mke wa pili

Amlazimisha mme wake aoe mke wa pili

Binti yuko sahihi kumshauri mmewe aoe mke mwingine.

Wanaume wameruhusiwa kuoa zaidi ya mke mmoja kwa sababu nyingi... ile moja wapo; ni kuwapunguzia kazi wanawake wenye waume wenye matamanio yasio ya kawaida (haswa kama ni maumbile tu, kama anatumia dawa huyo jamaa; mke amshauri mmewe aache)

Sababu nyingine za mwanaume kuruhusiwa kuoa mke zaidi ya mmoja;

Kuzaliana ( kuongeza kizazi) i.e 1 husband + 3 wives = 3 kids within a year or whatever
1 wife + 3 husband = Ugomvi/majukumu yataongezeka kwa mama kuwahudumia 3 man

Kuwastiri wanawake wasio na waume; wanawake ni wengi duniani kuliko wanaume, ikiwa kila mwanaume ataoa mke mmoja tu; wako wanawake ambao hawatapata waume hali itakayo pelekea watumia njia za mkato kukidhi matamanio yao, hali itakayo pelekea kupatikana watoto wa nje ya ndoa, every single man has to marry not less than two woman so as every woman in the world could have a husband.


Last but not least;
Kupatikana kizazi chenye dira, a family with no father/husband; mostly loses direction, labda familia chache zinazo ongozwa na wanawake wanao ishi kwa muongozo ulio sahihi na sio mawazo yao binafsi. It doesnt mean every family with father/husband runs in a proper direction but every family with husband/father who binds himself with life menu book (guidance)/ revelation from the creator, will always run in a proper direction.
 
Back
Top Bottom