zimwimtu
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 1,988
- 1,097
inawezekana jamaa ndo kwanza wameoana.., anataka kila siku, kila saa. bidada avumilie baada ya mwezi hamu ya jamaa itapungua na kumuona wa kawaida. ataanza kupunguza kugonga kila siku. naongelea uzoefu wakuu nilipooa nilikuwa nataka kila siku, lakin siku hiz ni mara mbili kwa wiki. ( mleta maada umeongeza chumvi kidogo, haiwezekani kila siku kutumia muda mrefu namna hiyo)