Amlawiti babu yake

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Posts
21,945
Reaction score
4,505
Kijana mmoja huko Tanga alimvizia babu yake akiwa amelala na kumlawiti babu kushtuka akakuta mjuu wake anampumulia kisogoni lahaula na kuanza kupiga mayowe.

Taarifa za kitabibu zinasema babu kaumizwa sana sehemu za kutolea taka ngumu na kapata maumivu makali yaliyo ambatana na mshtuko pamoja na mfadhaiko kijana huyo sasa hivi anashikiliwa kituo kimoja cha polisi huko jijini Tanga.

==================================================
 
Dah tanga why? Yaani nasikia kila baada ya nyumba moja tanga either kuna shoga,or teja. Mambo mengine ni laana.
 
Danh yaani bado hajauwawa na wenye hasira???!!!
Why is he still alive???!!!!
 
Ni kweli au? Maana matukio mengine ni ngumu kweli kuamini, ungeweka na source kidogo!
 
Jana Ali alimuua mwenzake akidhani ni nguruwe leo tena babu kabakwa tanga mbona balaa....
 

Kama Babu aliumia, Nampa pole.
Lakini pia ni vizuri aulizwe kama haku-enjoy, maana hawa wagosi, hawaeleweki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…