AMKENI! AMKENI!: Operation Komboa Venrezuela Imeanza

AMKENI! AMKENI!: Operation Komboa Venrezuela Imeanza

ELI COHEN

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
9,376
Reaction score
28,490
20250821_074108.jpg


Screenshot_20250821-074919~2.jpg
 
Inawezekana Trump alikubali kuwatosa ulaya ili Urusi nae asitoe msaada kwa maduro
NATO+USA ukiangalia Kwa karibu urusi alishawapakata suala la nishati,sifikirii Putin kuweka makubaliano na USA.
Syria alishawadhibiti, Nigeria washadhibitiwa Kwa zile nchi kufanya mapinduzi ya kijeshi,Hapo Venezuela lazima kiwake TU.
 
Vita ya pale Venezuela sio ndogo kwake Marekan asubutu kuiyanzisha USA italegwa kutokea Venezuela ngoja kinuke.
 
Inawezekana Trump alikubali kuwatosa ulaya ili Urusi nae asitoe msaada kwa maduro
Haswa ndilo lengo kuu la Trump, yaani kumuondoa au kumuua Maduro, kisa utajiri mkubwa wa mafuta na madini ya nchini Venezuela.

Trump amekwisha mteka akili Putin kuhusu suala la Ukraine hivyo Trump ana uhakika kwamba Urusi haita ingilia kati kutaka kumsadia Maduro/Venezuala, a very clever ploy!!
 
Kwa hili suala naona ni ngumu sana Venezuela kusaidiwa na Urusi. Trump na Putin ni kama wana maelewano hapa naona Putin atapoozwa kwa kuimega Ukraine na pia kutojiunga NATO.
 
Kwani Maduro aliwakosea Nini wamarekani?
Maduro/Venezuela wanaponzwa na uwepo wa utajiri wa mafuta mengi na madini nchini mwao, basi!! Lakini hapaTrump anaizuga Dunia kwamba Maduro na genge lake wanahusika sana na biashara ya madawa ya kulevya yanayo safirishwa kwenye makoteina na makonteina kupelekwa Merikani, huo ni uwongo mtupu wa kumsingizia/kupata sababu ya kutaka kumkamata na kufungulia Maduro mashtaka ya kutunga tu ili puppet wa Trump apewe Urais nchini Venezuela, hata Biden aliwahi kujaribu kumpindua Maduro eti "aliiba kura ie uchaguzi hakuwa wa halali ie free and fair!!" Wakati mwingine Viongozi wa Merikani ni watu wa ajabu sana.
 
Raia 8,000,000 wamekimbia na kuingia kinyemela USA kupitia Colombia hadi Marekani kipindi cha utawala wa uliopita, na rais Donald Trump anataka kumaliza tatizo hilo la wakimbizi, Venezuela kuwa kitovu cha kuingiza madawa ya kulevya nchini Marekani pia ikiwemo rais Nicolás Maduro aliyejiweka madaraka kwa nguvu nchini Venezuela


Marekani yaahidi donge nono la US$ 50,000,000 kufanikisha kumtia mbaroni Nicolás Maduro


Reward Offer Increase of Up to $50 Million for Information Leading to Arrest and/or Conviction of Nicolás Maduro​

Press Statement
Marco Rubio, Secretary of State
August 7, 2025

Read more :

The Department of State and the Department of Justice are announcing a reward offer increase of up to $50 million under the Narcotics Rewards Program (NRP) for information leading to the arrest and/or conviction of Nicolás Maduro for violating U.S. narcotics laws.

For over a decade, Maduro has been a leader of Cartel de los Soles, which is responsible for trafficking drugs into the United States.

On July 25, 2025, the U.S. Department of the Treasury designated Cartel de Los Soles as a Specially Designated Global Terrorist (SDGT).

Since 2020, Maduro has strangled democracy and grasped at power in Venezuela. Maduro claimed to have won Venezuela’s July 28, 2024, presidential election but failed to present any evidence that he had prevailed.

The United States has refused to recognize Maduro as the winner of 2024 election and does not recognize him as the President of Venezuela.
Today’s reward offer is authorized by the Secretary
US Department of State
 
Trump hapendi vita. Hawezi kuanzisha nyingine.

Carlos Ruckauf - Siku za mwisho za Nicolás Maduro zimekaribia ? Je atakuwa muhanga wa pili kungolewa kama Jenerali Manuel Noriega kiongozi wa Panama

Carlos Ruckauf ¿Se acerca el final de Nicolás Maduro ?

View: https://m.youtube.com/watch?v=AJX2q48GDyE

Mchambuzi wa masuala ya tawala za Latin Amerika anatueleza yanayoweza kutokea kwa rais Nicolás Maduro mwezeshaji wa shehena kubwa ktk ulanguzi wa madawa ya kulevya, ...mtawala aliyejipachika madarakani, mkandamizi wa haki za kiraia ...

Estados Unidos desplegó un fuerte operativo aeronaval en el Caribe Sur, alrededor de Venezuela. El objetivo es capturar a Nicolás Maduro y otros dos líderes de su gobierno, sindicados como líderes del Cartel de los Soles por Donald Trump. Carlos Ruckauf analiza el escenario de operaciones y qué acción podrían realizar las fuerzas armadas norteamericanas.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom