AMKENI! AMKENI!: Operation Komboa Venrezuela Imeanza

AMKENI! AMKENI!: Operation Komboa Venrezuela Imeanza

kama Jenerali Manuel Noriega kiongozi wa Panama

2022
This is the story of Manuel Noriega – the man that led Panama for decades – and his downfall, due to his own belief in his invincibility.

View: https://m.youtube.com/watch?v=eEtetQv8tjQ
 
Venezuela has World´s largest oil reserves and other natural resources.

Hiki ndicho Marekani imekitaka Venezuela kwa miaka mingi bila mafanikio

Baada ya Marekani kuona kila njia ya kumpindua Maduro kwa kutumia CIA na mashirika yao kama NED imeshindikana

Sasa wameingiza meli vita kwa gia ya kusema wanataka kupambana na makundi ya wauza madawa ya kulevya ya Venezuela

We stand with Venezuela
 
Kwani Maduro aliwakosea Nini wamarekani?
Marekani wanataka kibaraka wao Edmundo Gonzálenz awe raisi wa Venezuela ili waibe natural resources za Venezuela

Na kihistoria hawajaanza kwa Maduro tangu enzi za Hugo Chávez, walitaka kumpindua wakashindwa

Inasikitisha sana kuona watu wanaiunga mkono Marekani kwa inachotaka kufanya
 
Tatizo la hii platform kwenye siasa za kimataifa huwa zinajadiliwa kiushabiki kwa mihemko pasi mtiririko wa maelezo ya hoja kama platform zingine!!!.....

Mfumo huu wa majadiliano unakuwa kama zogo la majibizano ya Simba na Yanga hali ambayo inawanyima watu elimu na maarifa juu ya siasa za kimataifa........

Pia kumezuka mtindo wa watu kuokoteza habari ambazo ni nzito zenye kuzua taharuki pasi na kuweka chanzo cha habari ilimradi tu hiyo habari inamfurahisha yeye......

Wanajukwaa
Hapa jukwaani ni kama darasa, TV au chem chem za maarifa na kupanua ufahamu kwa sisi wengine hivyo kujadiliwa mambo kwa hoja kunatupa wigo mpana wa Sisi vilaza kudaka mawili matatu......
 
Napta hisia mbaya inawezekana Venezuela kauzwa na Warusi, kwa mabadilishano na Ukrain
Venezuela has World´s largest oil reserves and other natural resources.

Hiki ndicho Marekani imekitaka Venezuela kwa miaka mingi bila mafanikio

Baada ya Marekani kuona kila njia ya kumpindua Maduro kwa kutumia CIA na mashirika yao kama NED imeshindikana

Sasa wameingiza meli vita kwa gia ya kusema wanataka kupambana na makundi ya wauza madawa ya kulevya ya Venezuela

We stand with Venezuela
 
Kama nchi inayosifiwa kwa ulinzi na bajeti kubwa ya kila namna ila bdo madawa ya kulevya yanaingia na kuuzwa.

Basi tusiwalaumu hawa viongoz wetu wa Africa maana tunawajua.
 
Nawao wamewasogezea nini kule Marekani maana kuna msemo unasema "AKIWEKA UGOKO WEKA CHUMA".
 
In GOD We Trust
G - Gold
O - oil
D - Diamond
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom