TECHMAN
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 2,649
- 1,128
Anakula space ya ukumbi tu, hapo aliposimama amechukua sehemu ya wanafunzi watatu.Hivi huyu mze yuko form gani?
Anakula space ya ukumbi tu, hapo aliposimama amechukua sehemu ya wanafunzi watatu.Hivi huyu mze yuko form gani?
Le Mutuz amefunga shule hapo ni.ndani ya school bash December 2014
le mutuz ana 50+ km angepata mtoto akiwa na 20yrs kwa sasa angekuwa ba mtoto mwenye 30+, bila shaka huyo mwanae angekuwa ameshaoa/olewa na hivyo kufanya huyu mzee awe wakuu.Yani hilo kubwa jinga hata haya halina kabisa ukiangalia hapo karibu wote waliomzunguka ni sawa na watoto wake wa kuzaa
kabisa