Samahani mkuu, hii ni staili yako au tatizo la kifaa hakina kitufe cha space. Narudia tena samahani km nitakukwaza.Aminiusiaminisiamini kamaniweweeeunajua. Hilileoo??
Samahani mkuu, hii ni staili yako au tatizo la kifaa hakina kitufe cha space. Narudia tena samahani km nitakukwaza.
Una maanisha?kama ilivyo kwa utatu mtakatifu wa Mungu(MUngu baba,mwana na Roho mtakatifu);wa shetan ni pesa,madaraka na mwanamke
BR Lee tuwe name amani simushidaaaaAminiusiamini ,siamini kama. niweweee. unajua. Hilileoo??
Swaga tu hizo hizo. Kitufe cha space kitakuwepo..
Kumbee, ngoja aje athibitishe.
Ni Kweli ana umuhimu mkubwa katika maisha,maana bila yeye tusingezaliwa
Samahani mkuu, hii ni staili yako au tatizo la kifaa hakina kitufe cha space. Narudia tena samahani km nitakukwaza.
Itakuwa jambo jema wakijitokeza wa KE kuchangia jambo hili, je ni kweli wana umuhimu wa pekee katika mafanikio ya mwanaume, au hata katika kuanguka kwa mwanaume?
Asante Preta kwa kujitokeza, nikiona mwanaume anapinga hili ... hasa la kufiwa na mke.. afu ugumu wa kuwapa malezi watoto pekee yake nitampongeza. Amini usiamini bila mwanamke familia sio familia. Mwanamke ni yote katika familia,Inategemea na mwanamke.......kama ni mgando........mara nyingi na mwanaume anakuwa mgando japo si wote.........ila kama ni smart.........matokeo yanajieleza.......
ki ukweli tunaplay part kubwa sana ya maisha ya wanaume........mfano mdogo tu ni mama akifa watoto bado wadogo.......baba lazima aweweseke........japo pia si wote lakini asilimia kubwa...........