Amini usiamini kumbe MMU ni subforum ya Chit chat!!

Amini usiamini kumbe MMU ni subforum ya Chit chat!!

shem miss you too!!
wewe si umenisusa...


Tobaaaaa shemeji BAGAH hebu kwanza ntake radhi kwa kunichafulia jina lol.....mie nikususe wewe???? kamwe haitatokea......wajua fika kuwa nikiambiwa kuchagua kumsusa kati yako na kaka ako ntachagua kaka ako lol......usipotee hivyo bana ujue utafanya nijitoe jf jamani!:flypig:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom