GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,451
- 127,625
Nkapa atatupa tafsiri ya UlofaJinsia AMBAYO INA AKILI au IQ Kubwa Ni Ya KIKE ( Mwanamke ) Isipokuwa Tu Ni MABWEGE Na Ya KIUME ( Mwanaume ) Ni WAJANJA Lakini Wana ULOFA.
Je WAJUVI Wa Mambo Hapa Kuna UKWELI Wowote Juu Ya UBWEGE Na ULOFA Baina Ya Hizi JINSIA KUU MBILI ZINAZOTEGEMEANA?
- UBWEGE Wa Wanawake Unatokana Na Kwamba Huwa Anajua Kabisa Kuwa ANADANGANYWA Wakati ANATONGOZWA Na Mwanaume Lakini ANAKUBALI Kiurahisi Sana Na Hadi Kuliwa URODA.
- ULOFA Wa Wanaume Unatokana Na Kwamba Anajua Kabisa Kuwa ANATAFUTA PESA KWA SHIDA Na TAABU ZOTE Lakini Anakuja KUZITOA Kwa Mwanamke ( KUHONGA ) Kirahisi / Kiulaini Sana.
Karibuni TULIJADILI.
Bora umejitetea..Uenda akakuacha salamaHahah...bro nimeisifia tu kazi yake ya sanaa!
sijwahi kujua kama VISIKI VINAGONGANA ila hapa ni mchezo wa nipe nikupe na falsafa ya hii inapatikana kwenye uumbaji oale mwanaume alipolazwa chini kama lofa na kumegwa ubavu wake .........................ha ha ha..
mwanamke na mwanaume hawa viumbe ni kama visiki i mean mwanamke atajigonga kwa mwanaume na mwanaume atajigonga kwa mwanamke..
Bora umejitetea..Uenda akakuacha salama
Coral na SadolinNaona uzi kwa udhamini wa coral paint....
umenielewa kweli..?sijwahi kujua kama VISIKI VINAGONGANA ila hapa ni mchezo wa nipe nikupe na falsafa ya hii inapatikana kwenye uumbaji oale mwanaume alipolazwa chini kama lofa na kumegwa ubavu wake .........................
Teh teh..Bro unataka kuyaoga matusi ww
Teh teh..Mkuu watake radhi wahayaUsihofu Mkuu Huyo Ni Mtani Wangu Wa KIHAYA. Wewe Unadhani Mwenyezi Mungu Alikosea Kuwapa Zile Aina Mbili KUU Za SAFINA Kuanzia Na "NGWENGWE" a.k.a Dally Kimoko Na KUZAMA Kwa MV BUKOBA? Hao Wangekuwa Wengi TUNGEPATA MNO SHIDA HAPA TANZANIA.
Teh teh..Mkuu watake radhi wahaya
We jamaa mbona kipindi kile cha mitaa ya sweya, Nyamalango.. Hukua hivi..
Kumbe ni watani wako..Basi sawaNa Sasa Hivi Watani Zao Sisi Watu Wa Mara ( Musoma ) Tunataka Kuizamisha Kabisa MV VICTORIA Ili WAFE Vizuri Na Waweze Kupungua Kwani Hao Jamaa Ni " Sheeeeeeeeedah ".
Kuna ukweli???Hahahahaaa sijui huwa unawaza nini wewe mtu!
We jamaa mbona kipindi kile cha mitaa ya sweya, Nyamalango.. Hukua hivi..
......Na Mwanaume Lakini ANAKUBALI Kiurahisi Sana Na Hadi Kuliwa URODA