Amini nadhiri za ndoa siko hai milele

Amini nadhiri za ndoa siko hai milele

ya nini wakati foreplay zina watosha waume zao wanawapalamia kama wewe unavyompalamia mke wako
Nadhani kundi la mamba kaonekana kenge.... Nimekuelewa mkuu tuishie hapo
 
Sasa kama wewe ni mke wa mtu unachepuka ili iweje
 
Sasa kama wewe ni mke wa mtu unachepuka ili iweje
Unajua mwanamke ni kiumbe cha kulaghaiwa wakati mwingine kukomoana, bila kusahau tamaa hasa kama mume wa dagaa na mlenda basi lazima mke awe mke kweli.
 
Back
Top Bottom