wana jf,tukubal tukatae lowasa atashika dola tu,kwa upande mwingine me naona ni sawa tu...coz mnafikiri nani ataeweza shika kile kiti zaidi yak?lowasa anaweza akiwa waziri mkuu mnakumbuka juudi zake katika kukuza elimu.!!!!toka kaondoka nn kimefanyika na shule za kata!!
Jaman tuache siasa uchwara tuangalie kiongozi mwenye uwezo wa kutatua matatizo tulionayo wantanzania.....haya n yang tu......
Sent from my blackberry 9780 using jamiiforums
Ben Saanane uko wapi? Kuna watu wanamsifia lowassa huku hujaona?