amini amini nawaambia , tunahitaji raisi kama lowassa ..

arudishe kwanza mablion ye2, anapowaharasi wenzake kufanya kazi kwa mshahara mdogo huku yeye ametapeli rasilimali za watanzania maanaake nn? Arudshe kwanza mikwanja aliyochota serikalin kuptia kampun ya kitapeli richmond, tena ishia hapo nicjenikatapka.

Richmond haijawahi kuchukua pesa yoyote ya Tanzania bado, ilikuwa mikataba tu ya Jk. Wewe mjinga na fitna zinakusumbuwa
 
Hivi Lowasa tayari ni rais; kiasi ambacho nasi tunatamani kuwa na rais kama yeye.
Shule za kata zimejengwa kwa jasho la wazazi wetu; tena wengine kwa kutandikwa viboko kwa amri za Ma-dc na wengine kutaifishwa mifugo yao kwa msamiati wa kuchangia shule. Ili hali wajanja wakifisidi kodi.
Kumbuka serikali corrupt haikusanyi kodi inaishia kufa na raia maskini; anyway zidi kumuombea kama unatamani awe rais huenda wa Tanganyika au JMT.
Vipi yeye msimamo wako; ni serikali mbili au tatu au hana mlengo ktk hili anasubiri tu kwenda Ikulu by any means!
 
Siamini kwamba kuna Watanzania kama wewe mpaka leo hawaoni umuhimu wa kuongozwa na Viongozi waadilifu,Inasikitisha sana,Bado hujajifunza haya tunayoyapata chini ya Utawala wa JK?Lowassa na JK ni kama pande mbili za sarafu linapokuja suala la namna gani wanaweza kulishughulikia tatizo la ufisadi Nchini.Nyerere pamoja na madhaifu yake kama Rais wa Kwanza lakini katika ushauri wake kuhusu wa kuwakataa Lowassa na JK kuwa Marais wa hii Nchi alikuwa sahihi kabisa.Tulimpuuza Nyerere juu ya JK na leo tunajuta.Na wewe leo hii unaona kosa tulilolifanya kwa JK halitoshi tuliongeze lingine kwa kumchagua Lowassa?Really?

wewe unadhani kiongozi gan ni mwadilifu tumpe urais tumwache lowassa?
 
Dhiki ni kitu cha hatari sana ! Hivi unaujua mkataba ambao lowasa aliingia na the so called mwekezaji kwenye lile jengo la umma linaloitwa la umoja wa vijana ? Kwa taarifa yako tu ni kwamba Mwakyembe hawezi kuthubutu kufanya kazi na lowasa , kwa binadamu mwenye akili ya kawaida kabisa anajua kwamba hakuna kilicho bora katika dunia hii kuliko uhai wake , tafakari sana unacholeta humu usisukumwe na mishikaki ya bure na pombe za asili .
 
Lowassa?????????? ajabu sana. Yaani nchi imekosa watu kabisa, basi tutachagua paka lakini sio lowassa!
 
kwa kweli tunahitaji rais mtendaji hatuhitaji mtu wa kujitafutia huruma za wananchi (rais ndo anatakiwa awahurumie wananchi sio wananchi wamuhurumie rais). tunahitaji rdaisi atakayetusaidia kupata ugali wetu wa kila siku, tunahitaji rais atakye hakikisha watoto wetu wanasoma. lowassa kwa muda mfupi aliokaa kma PM katujengea shule za kata pia kahakikisha wasukuma wanapata maji ya kunywa.

lowassa alihakikisha watu mawilayani wanawajibika. ni lowassa anaetambua kwamba tatizo la ajira kwa vijana ni time bomb. ni lowass anaeweza kutuunganisha waislamu na wakristo. ni lowassa anaeweza kuthubutu kuchukua hatua kali pale inapopaswa.

tumeshaona matatizo ya kuwa na viongozi wanaotafuta kupendwa na watu kwa kujinyenyekeza kama pinda kujiita mtoto wa mkulima na jk wake. ni mtu kama lowassa ndio anaweza kukaa na kina pk, m7 na uk wakaheshimiana.

anaweza kuonekana mchafu lakini mpaka leo hatuna uhakika wa uchafu wake. hata hivyo tunahitaji mtu mtendaji japo tunataka mtu msafi (kuna tofauti ya Kuhitaji na kutaka). na hakika akiwa rais hata waacha watendaji wenzake kama magufuli na mwakyembe(mavi ya kale hayanuki). fikiria lowassa rais, magufuli waziri mkuu na mwakyembe waziri wa kiimo (unashangaa kilimo!, aslimia 80 ya watz ni wakulima hivyo wanahitaji mchapakazi kuwasimamia).

tuachane na mambo ya kijinga na kitoto kwa kushabikia siasa kama hobby au fani tunatakiwa kujua hio ndo itaamua mustakabali wetu na wa watoto wetu hivyo tunatakiwa kuwa siriasi na makini kujenga mustakabali wetu.

kwa uchapaji wake wa kazi bila ya shaka atafanikiwa kutuletea richmond. Na kwa huruma zake atawezesha kwaya zetu na hata madrasa kwa mabaki ya fedha za mikataba hewa. Inaelekea watanzani tuna ugonjwa wa kusahau.
 
hata wewe kama ni mtendaji unaweza kuwa rais siyo mpka lowassa
 
kwa kweli tunahitaji rais mtendaji hatuhitaji mtu wa kujitafutia huruma za wananchi (rais ndo anatakiwa awahurumie wananchi sio wananchi wamuhurumie rais). tunahitaji rdaisi atakayetusaidia kupata ugali wetu wa kila siku, tunahitaji rais atakye hakikisha watoto wetu wanasoma. lowassa kwa muda mfupi aliokaa kma PM katujengea shule za kata pia kahakikisha wasukuma wanapata maji ya kunywa.

lowassa alihakikisha watu mawilayani wanawajibika. ni lowassa anaetambua kwamba tatizo la ajira kwa vijana ni time bomb. ni lowass anaeweza kutuunganisha waislamu na wakristo. ni lowassa anaeweza kuthubutu kuchukua hatua kali pale inapopaswa.

tumeshaona matatizo ya kuwa na viongozi wanaotafuta kupendwa na watu kwa kujinyenyekeza kama pinda kujiita mtoto wa mkulima na jk wake. ni mtu kama lowassa ndio anaweza kukaa na kina pk, m7 na uk wakaheshimiana.

anaweza kuonekana mchafu lakini mpaka leo hatuna uhakika wa uchafu wake. hata hivyo tunahitaji mtu mtendaji japo tunataka mtu msafi (kuna tofauti ya Kuhitaji na kutaka). na hakika akiwa rais hata waacha watendaji wenzake kama magufuli na mwakyembe(mavi ya kale hayanuki). fikiria lowassa rais, magufuli waziri mkuu na mwakyembe waziri wa kiimo (unashangaa kilimo!, aslimia 80 ya watz ni wakulima hivyo wanahitaji mchapakazi kuwasimamia).

tuachane na mambo ya kijinga na kitoto kwa kushabikia siasa kama hobby au fani tunatakiwa kujua hio ndo itaamua mustakabali wetu na wa watoto wetu hivyo tunatakiwa kuwa siriasi na makini kujenga mustakabali wetu.

ameshachangia sh ngapi na atazirudishaje atakapokuwa rais
 
Hivi Lowasa tayari ni rais; kiasi ambacho nasi tunatamani kuwa na rais kama yeye.
Shule za kata zimejengwa kwa jasho la wazazi wetu; tena wengine kwa kutandikwa viboko kwa amri za Ma-dc na wengine kutaifishwa mifugo yao kwa msamiati wa kuchangia shule. Ili hali wajanja wakifisidi kodi.
Kumbuka serikali corrupt haikusanyi kodi inaishia kufa na raia maskini; anyway zidi kumuombea kama unatamani awe rais huenda wa Tanganyika au JMT.
Vipi yeye msimamo wako; ni serikali mbili au tatu au hana mlengo ktk hili anasubiri tu kwenda Ikulu by any means!

ninayo stakabadhi ya malipo ya ujenzi wa hivyo vijiwe vya bangi ( ukipenda unaweza ita shule za kata ) niliyolipishwa kwa lazima , kwa ajili ya ushahidi ule wakati utakapofika, cc NYARONYO KICHEERE !
 
Lowasa ndiyo kiongozi safi. Yz tunahitaji tupate rais mkali vya kutosha sio kuchekacheka na watz then ppp zinalala na hazipigi kazi.
 
kwa kweli tunahitaji rais mtendaji hatuhitaji mtu wa kujitafutia huruma za wananchi (rais ndo anatakiwa awahurumie wananchi sio wananchi wamuhurumie rais). tunahitaji rdaisi atakayetusaidia kupata ugali wetu wa kila siku, tunahitaji rais atakye hakikisha watoto wetu wanasoma. lowassa kwa muda mfupi aliokaa kma PM katujengea shule za kata pia kahakikisha wasukuma wanapata maji ya kunywa.

lowassa alihakikisha watu mawilayani wanawajibika. ni lowassa anaetambua kwamba tatizo la ajira kwa vijana ni time bomb. ni lowass anaeweza kutuunganisha waislamu na wakristo. ni lowassa anaeweza kuthubutu kuchukua hatua kali pale inapopaswa.

tumeshaona matatizo ya kuwa na viongozi wanaotafuta kupendwa na watu kwa kujinyenyekeza kama pinda kujiita mtoto wa mkulima na jk wake. ni mtu kama lowassa ndio anaweza kukaa na kina pk, m7 na uk wakaheshimiana.

anaweza kuonekana mchafu lakini mpaka leo hatuna uhakika wa uchafu wake. hata hivyo tunahitaji mtu mtendaji japo tunataka mtu msafi (kuna tofauti ya Kuhitaji na kutaka). na hakika akiwa rais hata waacha watendaji wenzake kama magufuli na mwakyembe(mavi ya kale hayanuki). fikiria lowassa rais, magufuli waziri mkuu na mwakyembe waziri wa kiimo (unashangaa kilimo!, aslimia 80 ya watz ni wakulima hivyo wanahitaji mchapakazi kuwasimamia).

tuachane na mambo ya kijinga na kitoto kwa kushabikia siasa kama hobby au fani tunatakiwa kujua hio ndo itaamua mustakabali wetu na wa watoto wetu hivyo tunatakiwa kuwa siriasi na makini kujenga mustakabali wetu.
Na wewe kakupa bodaboda tayari nini? kweli watanzania tumekuwa bei rahisi sana.
 
Back
Top Bottom