SIMEON KATATANAMA
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 479
- 277
Mie nasubiri kupiga kura tu kama Mungu atanipa neema ya kufika 2015.
bro you are real great thinker...Siamini kwamba kuna Watanzania kama wewe mpaka leo hawaoni umuhimu wa kuongozwa na Viongozi waadilifu,Inasikitisha sana,Bado hujajifunza haya tunayoyapata chini ya Utawala wa JK?Lowassa na JK ni kama pande mbili za sarafu linapokuja suala la namna gani wanaweza kulishughulikia tatizo la ufisadi Nchini.Nyerere pamoja na madhaifu yake kama Rais wa
Kwanza lakini katika ushauri wake kuhusu wa kuwakataa Lowassa na JK kuwa Marais wa hii Nchi alikuwa sahihi kabisa.Tulimpuuza Nyerere juu ya JK na leo tunajuta.Na wewe leo hii unaona kosa tulilolifanya kwa JK halitoshi tuliongeze lingine kwa kumchagua Lowassa?Really?
You are completely delusional just like your name is!
Unapenda kutukana unaona raha gani.
Lowasa ndiyo kiongozi safi. Yz tunahitaji tupate rais mkali vya kutosha sio kuchekacheka na watz then ppp zinalala na hazipigi kazi.
mwanzo hata mimi nilitaka kuamini kuwa may be lowassa ni mwizi lakini nikatulia kuchuja facts na kugundua ule ulikuwa mchezo wa kisiasa tu kuvizia nafasi ya uwaziri mkuu. Katika uwezo wa kubuni,kusimamia na kufuatilia jamaa huyu pia anao uwezo mkubwa sana pia siyo mtu wa kunyenyekea mataifa ya magharibi na kurinda masilahi yao na ndiyo maana aliweza kuipiga chini city water na pia kama angeruhusiwa alikuwa amedhamilia kuipiga chini richmond ingawa alizuiliwa na kuambiwa kuwa issue itajadiliwa kwenye kikao cha wataalamu yaani makatibu wakuu na ndio hapo ilipoonekana kuwa anataka kuziba uraji wa wakubwa na kuundiwa zengwe na kama hamulioni hilo hebu pimeni jinsi richmond ilivyojigeuza kuwa dowans na hatimaye kampuni ya kimarekani ya ........... Iliyomleta hadi ombama pale ubungo na kushangiliwa na kila mtanzania na viongozi wetu hata walioipinga wakati ikiwa imevaa shati la zamani.mimi naamini hapa mpaka uwe unaangalia kwa jicho la tatu ndio utabaini ila tayari tulipigwa chenga ya mwili na hata lowassa tangu ajihudhuru nafasi yake ya u pm kwa kulinda serikali na chama nafasi hiyo imepwaya sana kwenye maamuzi hata kusimamia utekelezwaji wa sera na ilani za serikali.naunga mkono anafaa kuwa raisi wa awamu ya tano 2015
wakuu heb tuachane na zile bendera fuata upepo,ni nan katika nchi hii asimame kugombea urais na awe msaf kwa 100%?nijuacho mimi kilichomkuta lowasa ni kama ajal tu ila nyuma yake kuna weng wanaoambatana naye na ndo mana anapata ujasir wa kutaka kugombea kwan ana cha kujitetea.amin nakuambia weng wataumbuka wakat wa kampen kama tu lowasa atapta kwenye kura za maona na ninaamin lazma iwe hvyo labda wamuue kama wataweza vingnevyo kazi wanayo.to be honest naungana na mleta uzi labda mtupe majina ya hao wasaf.
Jifunze kuheshimu mawazo ya mwenzako hata kama hauyapendi. Hiyo ndio demokrasi ya kweli. May God bless youpeleka ujinga huko!