Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,650
- 20,997
kwa kweli tunahitaji rais mtendaji hatuhitaji mtu wa kujitafutia huruma za wananchi (rais ndo anatakiwa awahurumie wananchi sio wananchi wamuhurumie rais). tunahitaji rdaisi atakayetusaidia kupata ugali wetu wa kila siku, tunahitaji rais atakye hakikisha watoto wetu wanasoma. lowassa kwa muda mfupi aliokaa kma PM katujengea shule za kata pia kahakikisha wasukuma wanapata maji ya kunywa.
lowassa alihakikisha watu mawilayani wanawajibika. ni lowassa anaetambua kwamba tatizo la ajira kwa vijana ni time bomb. ni lowass anaeweza kutuunganisha waislamu na wakristo. ni lowassa anaeweza kuthubutu kuchukua hatua kali pale inapopaswa.
tumeshaona matatizo ya kuwa na viongozi wanaotafuta kupendwa na watu kwa kujinyenyekeza kama pinda kujiita mtoto wa mkulima na jk wake. ni mtu kama lowassa ndio anaweza kukaa na kina pk, m7 na uk wakaheshimiana.
anaweza kuonekana mchafu lakini mpaka leo hatuna uhakika wa uchafu wake. hata hivyo tunahitaji mtu mtendaji japo tunataka mtu msafi (kuna tofauti ya Kuhitaji na kutaka). na hakika akiwa rais hata waacha watendaji wenzake kama magufuli na mwakyembe(mavi ya kale hayanuki). fikiria lowassa rais, magufuli waziri mkuu na mwakyembe waziri wa kiimo (unashangaa kilimo!, aslimia 80 ya watz ni wakulima hivyo wanahitaji mchapakazi kuwasimamia).
tuachane na mambo ya kijinga na kitoto kwa kushabikia siasa kama hobby au fani tunatakiwa kujua hio ndo itaamua mustakabali wetu na wa watoto wetu hivyo tunatakiwa kuwa siriasi na makini kujenga mustakabali wetu.