Amfumania mke wake 'live' fundisho.

saf sana, unapomgombeza au kumpiga inamaanisha ni mwisho wa hasira zako, so ukikiaa kimya na upole kama wa jamaa ni adhabu tosha kwa mharifu lakini ni ya juu sana mana m2 anaweza kujiua coz hatoamin ni adhabu gan itafuata !
 
saf sana, unapomgombeza au kumpiga inamaanisha ni mwisho wa hasira zako, so ukikiaa kimya na upole kama wa jamaa ni adhabu tosha kwa mharifu lakini ni ya juu sana mana m2 anaweza kujiua coz hatoamin ni adhabu gan itafuata !

Katika wiki mbili, yule dada alikonda akawa kama uzi...
 
Ndio utafute sababu sasa? alikosea sana alipomnunia,wanawake ndio wenye tabia ya kununa.Alipaswa KUVUNJA UKIMYA.Angejua tu chanzo cha hayo yote kisha ndipo angechukua hatua....
ukiona unaongea kama hivi, ujue na wewe ni mmoja wao wa wazinzi wanaotokaga nje ya ndoa, siku yako inakuja, tena iko karibu sana utakapojikuta dunia hii ni ndogo kama pilitoni.macho hayaoni, masikio hayataki kusikia, unatamani dunia ipasuke uingie lakini haiwezekani, unatamani upae lakini huna mabawa, .... uzinzi ni kitu kibaya mbele za wanadamu na mbele za Mungu pia. majukumu tu ndo yakufanye uende motoni?...tendo la ndoa tu ndo likufanye umuasi Mungu wako?...mbona kuna watu wanakaa hata mwaka bila kufanya hivyo na ni waaminifu kwa Mungu wao?..maroho ya uzinzi yamewajaa ndo maana hamuwezi kutulia kwenye ndoa zenu. mngejua madhara ya uzinzi mngetulia...

kuna madhara makubwa sana kiroho..first of all, kwasababu mnakuwa mnaingiliana na mtu mwingine, mnafanyika mwili mmoja, hivyo mapepo yoote, majini yaliyokuwa kwa mwingine, laana na mikosi, vinaambukizana...the more unapochukua wanawake wengi, the more unavyozidi kupata mapepo..mwishoni shetani atakutegea kitanzi ufe kabisa kwasababu ya mapenzi kwasababu shetani atakuwa na antena nyingi kwenye mwili wako(mapapo) ambayo anaweza kukucontrol kama na remote control vile...anakugeuza apendavyo, akuamua upigane, unapigana, akiamua ujinyonge unajinyonga, akiamua uugue unaugua, akiamua uzini ki uzembe upate ukimwi anakuletea kabisa aliyeathirika afu anakutia tamaa ili ulale naye harakaharaka upate ugonjwa.....anaweza akaamua kukushawishi ulale na mke wa mtu afu wakati huohuo anaenda kwa mwenye mke anamsogeza hadi sehemu ya kuwafumania,,,mkianza kupambana na kuchinjana ndo faida yake yeye shetani..Ole wenu, tena nasema Ole!
 
namuuomba mungu bila kukoma mke wangu awe mwaminifu siku zote kwa maana sitaki kesi ya mauaji

Ingekuwa vizuri zaidi kama ungemwomba mungu wewe pia uwe mwaminifu siku zote ili nyote kwa pamoja mdumishe ndoa yenu iliyobarikiwa na mungu na wanadamu pia
 
Unasemehe,afu unachunguza tatizo gani limemfanya mkeo a-acheat(inawezekana mwanaume ndio source labda alikuwa anakwepa majukumu)

Zion unasound kama ni rahisi kwako kucheat, maaana sioni sababu ya kusema labda mme anakwepa majuku ndo mke ucheat. Masuala ya majukumu ya nyumba ni makubaliano ya wote wawili. Mtu mwizi hata kama ukimpa kila kitu, ataendelea kucheat tu. Unakuwa kama wazimu fulani unaomfanya mtu asikumbuke alichokihaidi mbele ya mwenyezi Mungu. Kwangu mwizi ni mwizi hakuna cha sababu yoyote ya kunipa. Kama nimekuwa mwaminifu siku zote nategemea na mwenzi wangu kuwa hivyo. Kazi kweli kweli kwa wanacheat kwenye ndoa zao.
 
Huenda jamaa katika haya Kumi chini yeye alikuwa hayatimizi vyema na hata huyo aliyemleta atamkimbia kama hatamtimizia haya;
hwe7gg.png

1. Kiss Her
It seems that kissing has become a bit of a lost art in this day and age and this is especially the case when a couple has been together for a long time. Spend a few minutes just kissing (a.k.a. making out) the way you did when you were a teenager. You'd be surprised at how hot kissing can really be!

2. Indulge in Some Foreplay
Women need a little more than guys do in order to get really turned in and primed for action. By treating them to more foreplay, not only do you increase their chances of an orgasm, but you're also setting yourself up for some very hot sex to follow!

3. Be Romantic
This should come as no shocker to anyone as it has been a problem since the beginning of man! While women enjoy a hard sexy throw down on occasion, they still want to be pampered and romanced a little.

Take some time to light a candle or two or just say something romantic. It doesn't take a bed sprinkled with rose petals to make a woman happy-though that would be great too.

During Sex She Wants You To...
4. Look Into Her Eyes
You can't even begin to imagine how incredibly arousing it can be to keep your eyes focused on each other during sex.

It creates an intimacy like nothing else which most women crave from their partners and it can really help you get in tune with each other so you're better able to know what feels good to them and what could use a little work; all without having to say a word.

5. Be A Little Rough
Yes, women want romance and tenderness, but most often before sex. During sex a woman wants to feel the passion and the urgency that comes from being wanted and desired.

Men are often afraid to be too rough, but the truth is that many women want to be handled a little harder during sex. Note: Tip #5 is a great one to help gauge just how rough you should be with her.

6. Not Forget Her Clitoris
The clitoris is the female equivalent of the penis, meaning that it is full of pleasure-feeling nerve endings that need to be stimulated to achieve orgasm. Most often a man will be so wrapped up in all the thrusting that he will neglect the most sensual part of her body. Spend some time on the clitoris and you'll make her one happy camper!

After Sex She Wants You To...
7. Cuddle
Big surprise! a woman wants to be held a little after sex as opposed to having you roll over and fall asleep like she's not even there. Put your arms around her, let her rest her head on you and try to stay awake for the next tip.

8. Say Something
Again, this one should come as no surprise. This is because women tend to feel more vulnerable after sex and by taking the time to listen and talk to her; you are making her feel more at ease and special.

9. Be Tender
Once the passionate, raw sex is done and over with, it's time to treat her like a delicate little lady again.

And Finally...
10. Have sex with her again!
That's right! while most men need to rest and regroup after they climax, women are usually good to go again rather quickly and would appreciate another round!
 
Kweli kabisa Madiya hao wezi wa wake za watu wanatumia mautundu yote katika mapenzi na wanawateka kwelikweli. Wanawafanyia hata yale mambo ambayo humfanyii mkeo ikiwa ni pamoja na kuwala TIGO, hapo mkeo anaweza kukusahau!

Kwa nini tusiwafanyie wenzetu mautundu hayo mpaka wafanyiwe na wengine? Ukiona hivyo tunaficha makucha. Niliwahi kusema kuwa kama mwanamke akiolewa ama mwanaumme akioa asipokuwa tayari kumweleza mwenziwe aina ya mchezo anaoutaka basi kuna hatari ya kurudi kwa fundi aliyemzoea. Hivi ukimpapasa mwenzio si unajua wapi anapata ashki. Mkicheza sebene si unajua wakati wa kumrusha maruhani mwenzio? Ama mnaigiza tu wala hakuna ajuae mimi hapa. Wataalamu wanajua hata alama za mtu anayependa kula au kuliwa tIGO. tafuta mwenzako anatka nini kunusuru ndoa zenu.

Ingawa pia kuna wale wasioshiba hata wapewe nini. Mwizi mwizi tu kazoea, akikosa mali hata jiwe atabeba!
 
mosi, huyo bwana alikosea. kwani yeye hajui wahenga walisema "ukimchunguza sana
bata utashindwa kumla". sasa kaitafuta fumanizi kaipata matokeo kaacha mke.

pili, baada ya kuvuta ushujaa wa kutomuadhibu mke wala mgoni kwa nini alikaa miezi
mitatu kabla ya kujibu mapigo? nashangaa sana, kwani hayo majibu angeyatoa kesho yake.
ana bahati mke mwenyewe hakuwa mbaya kiasi hicho kwani angekuwa mbaya angeweza
hata kumuwekea sumu au kumdhuru kwa aina nyingine.

namshauri kabla hajaoa tena "atembee" ajifunze jinsi watu wanavyokabiliana na misukosuko
ya ndoa.

utaniuliza jee mimi ningefanya nini? jibu ni kwamba hata hilo fumanizi nisingelitafuta hivyo
nisingekuwa katika mazingira ya kutoa maamuzi. na kama inatokea siku nakutana na fumanizi
bila kulitafuta basi ningejua mwenzangu kanichoka kwani kama angekuwa na tatizo angenieleza.
kwa vile hajanieleza na badala yake kaamua "kujipongeza" ningekubali yaishe na kila
mtu aanze kivyake.
 
Hii ndo matokeo ya kuoa mademu wa watu. huyo mke kafumwa na ex boyfriend wake. cku hizi bongo watu wanaoana kwa sababu wanataka kuoa au kuolewa. Let marriage come naturally and not by formality.

Ndoa ndo imekuwa chanzo cha kuunganisha watu na sio luv. Many are now suffering from these consequences.

Duh Pooooleeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom