Amfumania mke wake 'live' fundisho.

Ukishaona mke wako hapendi ndugu zako wakae nyumbani kwako, jua ana mchezo kama huu. Mbona ni mambo ya kawaida kwenye ndoa nyingi sema wengi wanaheshima kiasi badaya kufanyia nyumbani wanasafiri mji mwingine. Chunga sana ndoa za siku hizi....
 
nmeipenda hiyo part ya aliamua ingia kimya kimya na kumsemesha mshkaji kiundugu kabsaaa na kuwa kimya kwa mkewe!!!!!
they say ukimkosea mtu ni bora akugombeze yaishe,lakini sio hayo ya kuchuniwa wakati mko ndani ya nyumba moja.
 
Huyo jamaa alikosea alitakiwa kwenda mahakamani na kudai bilioni moja toka kwa mgoni wake na mkewe kwa kumchukua mke wa mtu...
 
Jamani mke anauma vibaya kama kweli unampenda siyo rahisi kuchukua uamuzi wa aina yoyote. Kwanza kwa mwenye roho nyepesi anaweza kuzimia akizindunga hard drive inaweza kuwa imefutika na asikumbuke yaliyotokea au mwingine kufa kabisa. Cha kufanya kitajulikana pale pale manake hakuna formula katika kumkamata mgoni. lakini nakwambia kumkamata mgoni wako inataka moyo lazivyo unaweza ukaharibu maisha yako yote
 
Duuh hii ngumu sana eeeh huyo mwanamke alikuwa hatari hakuwa na mapenzi na mmewe hata kidogo..maskini ndoa changa alishaanza Usaliti wa hali ya juu.... miezi sita tu ndani ya ndoa anazua mabalaa...

hakuwa na mapenzi lakini pia hakutumia akili. hivi hata kama unataka kusaliti ndoa yako ndo umlete mwanaume nyumbani? hata kwa mwanaume, haipendezi kumleta mwanamke mwingine kwenye nyumba ya mkeo. hoteli/guest house zote hizi siku hizi?
 
Ningewauliza kama walikuwa wanatumia condom, pili ningejiangalia na mimi kama sina hio infedality xcter, tatu ningepima kama kiafya niko salama, nne ningekuwa jela kwa kosa la kuhamisha kiungo au viungo vya mwanadamu kutoka kwenye original place yake

Super,
Hapo umeua ndugu yangu!
 
Ndio utafute sababu sasa? alikosea sana alipomnunia,wanawake ndio wenye tabia ya kununa.Alipaswa KUVUNJA UKIMYA.Angejua tu chanzo cha hayo yote kisha ndipo angechukua hatua....

Yote hayo yanatokana na hasira, na hiyo haina cha kutafuta chanzo ni dharau kubwa sana kwa mwana ndoa kuleta mwizi ndani ya chumba mnacholala kila siku. Umeshindwa kwenda kote huko nje unaamua kuleta ndani? Kama mume hajawahi kufanya kitendo km hicho before au hata kumsaliti mkewe, angenyamaza tu wala bila hata kumsemesha. Mkewe angejiuliza kwa nini mumewe hajamuuliza kwa kitendo kama hicho. Kukaa kimya ndo dawa manaana ukianza kugombana ni kama unamsisitiza aendelee na hiyo tabia chafu. Miezi Sita ndowa Imesalitiwa?, ni kweli aliolewa kwa kumpenda mumewe au tu kutimiza wajibu wa kuonekana naye kaolewa? Au huyo mwizi alikuwa mtu wake wa siku nyingi? Hata km ni mtu wake wasiku nyingi, najuwa ukiamua kuingia kwenye Ndoa hayo yote ya Nyuma unayaacha. Ukimwi utaisha kweli? Maana najuwa huyo mwizi atakuwa na mtu mwingine huko mbali ya huyo mdada aliyeko kwenye ndoa. Ndoa nyingine bwana kazi kwelix2.
 
WEWE ungefanyaje/.. REAL story...

Baada ya kufunga ndoa takribani miezi 6 hivi, jamaa yangu wa karibu alihisi kusalitiwa kwa ndoa yake. Akafanya mtego na siku hiyo kama kawaida aliaga anakwenda kwenye biashara zake mkoani.

Mke akamjulisha X B/F wake kama kawaida yao. Ilipofika saa 2 usiku, Mume akarudi ghafla na kufungua mlango na kukaa sitting room akihofia kwenda b/room ambako kulikuwa na shughuli inaendelea. Mume mwizi akamwambia yule mwanamke. Nimesikia kama mtu ameingia sebuleni. Mwanamke kwa sababu ana uhakika hakuna mtu wa kuingia kwake kwani mume alishasafiri, akatoka kama alivyozaliwa na kumkuta mume wake amejaa sitting room.

Mume akamwomba msamaha mke wake kwa kumtibulia starehe yake na kuingia chumbani ambako vilevile alimwomba msamaha mgoni wake. Na kumwambia.. ''Siku nyingine uwe unakwenda G/house sio kuja nyumbani kwangu.. Utauawa bure''. yule mwizi aliachia mkojo kitandani akijua ndio mwisho wake. Na mke alikuwa anasubiri kuona kitakachotokea baada ya mume wake kuingia b/room. Yule bwana akaingia bafuni kuoga, huku nyuma, mwizi akaingia mitini.

Mume hakumuuliza tena mke wake wala kumpiga na hakumweleza mtu yeyote yale yaliyomkuta.. Maisha yakaendelea lakini, hakuna huduma yoyote, hakuna mazungumzo, hakuna salamu wala hakuna mawasiliano yoyote na mke wake. Baada ya miezi 3, mume akaja na mwanamke mwingine na kulala nae nyumbani kwake huku mke wake anaona. Asubuhi, mke aliondoka bila kuaga na kurudi kwao. Huko alipoulizwa, akasema amefukuzwa.. Akiulizwa sababu, hana cha maana cha kueleza. Wazazi walimtafuta mume wake na alikwenda na kueleza kila kitu na kumwacha mke moja kwa moja..

Hiki ni kisa cha kweli kilichomtokea rafiki yangu wa karibu kama miezi 6 iliyopita... JE UNGEKUWA WEWE., UNGEFANYAJE?

Hapo kwenye red inaonyesha kwamba alikuwa ni memba of the commedian society, mwanamke aliyefundwa hawezi kwenda sitting room kama alivyo zaliwa hata kama mlango wa sitting room amefunga yeye mwenyewe. Pole kwa mshikaji kwamba alioa kicheche!
 
Eeeh bwana ukweli ni kwamba wanawake wa siku hizi wanapenda kuolewa ili wawe na miji yao na si kwamba huwa wanawapenda wanaume wanao waoa ndo maaana wanaolewa lakini bado wale ma xb wanaendelea kula mambo kwani huyo ndiye anaempenda sema hayuko tayari kuoa mi taua mtu acha bwana mke anauma sana tena watu wa siku hizi wanao fanya wake za watu ni noma wengi wanawala tigo kwa sana sasa fikiri we mkeo unamheshimu humli tigo kumbe mwenzio ni mchezo wake wanamla huko nje ya ndoa unaona eee sasa kwaninin usiue mtu naua mfanyaji kwanza alafu anafata mfanywaji tatu nami najiua tu basi bwana aiseee mke anauma acha
 
nmeipenda hiyo part ya aliamua ingia kimya kimya na kumsemesha mshkaji kiundugu kabsaaa na kuwa kimya kwa mkewe!!!!!
they say ukimkosea mtu ni bora akugombeze yaishe,lakini sio hayo ya kuchuniwa wakati mko ndani ya nyumba moja.

Je Mtaalam ungekuwa wewe ungefanyaje?
 
Eeeh bwana ukweli ni kwamba wanawake wa siku hizi wanapenda kuolewa ili wawe na miji yao na si kwamba huwa wanawapenda wanaume wanao waoa ndo maaana wanaolewa lakini bado wale ma xb wanaendelea kula mambo kwani huyo ndiye anaempenda sema hayuko tayari kuoa mi taua mtu acha bwana mke anauma sana tena watu wa siku hizi wanao fanya wake za watu ni noma wengi wanawala tigo kwa sana sasa fikiri we mkeo unamheshimu humli tigo kumbe mwenzio ni mchezo wake wanamla huko nje ya ndoa unaona eee sasa kwaninin usiue mtu naua mfanyaji kwanza alafu anafata mfanywaji tatu nami najiua tu basi bwana aiseee mke anauma acha

Mhhh! Hii ngumu..
 
Kuua na kujiua sio suluhisho, maana utajitengenezea dhambi. Tafuta tatizo ni nini kwanza, then utafanya maamuzi baadaye.

Mwanaume wengi mnatabia ya kukurupuka tu mkipatwa na jambo, tafakari kwanza.
 
WEWE ungefanyaje/.. REAL story...

Baada ya kufunga ndoa takribani miezi 6 hivi, jamaa yangu wa karibu alihisi kusalitiwa kwa ndoa yake. Akafanya mtego na siku hiyo kama kawaida aliaga anakwenda kwenye biashara zake mkoani.

Mke akamjulisha X B/F wake kama kawaida yao. Ilipofika saa 2 usiku, Mume akarudi ghafla na kufungua mlango na kukaa sitting room akihofia kwenda b/room ambako kulikuwa na shughuli inaendelea. Mume mwizi akamwambia yule mwanamke. Nimesikia kama mtu ameingia sebuleni. Mwanamke kwa sababu ana uhakika hakuna mtu wa kuingia kwake kwani mume alishasafiri, akatoka kama alivyozaliwa na kumkuta mume wake amejaa sitting room.

Mume akamwomba msamaha mke wake kwa kumtibulia starehe yake na kuingia chumbani ambako vilevile alimwomba msamaha mgoni wake. Na kumwambia.. ''Siku nyingine uwe unakwenda G/house sio kuja nyumbani kwangu.. Utauawa bure''. yule mwizi aliachia mkojo kitandani akijua ndio mwisho wake. Na mke alikuwa anasubiri kuona kitakachotokea baada ya mume wake kuingia b/room. Yule bwana akaingia bafuni kuoga, huku nyuma, mwizi akaingia mitini.

Mume hakumuuliza tena mke wake wala kumpiga na hakumweleza mtu yeyote yale yaliyomkuta.. Maisha yakaendelea lakini, hakuna huduma yoyote, hakuna mazungumzo, hakuna salamu wala hakuna mawasiliano yoyote na mke wake. Baada ya miezi 3, mume akaja na mwanamke mwingine na kulala nae nyumbani kwake huku mke wake anaona. Asubuhi, mke aliondoka bila kuaga na kurudi kwao. Huko alipoulizwa, akasema amefukuzwa.. Akiulizwa sababu, hana cha maana cha kueleza. Wazazi walimtafuta mume wake na alikwenda na kueleza kila kitu na kumwacha mke moja kwa moja..

Hiki ni kisa cha kweli kilichomtokea rafiki yangu wa karibu kama miezi 6 iliyopita... JE UNGEKUWA WEWE., UNGEFANYAJE?

Nampa Pongezi huyo bwana!!, Ni mtu Jasiri na mwenye moyo wa Jiweee!!!!!!!
 
hahahahaa!!!
angewaambia tu wasifanyie home......then awachukue wote wawili akawapangie g/h room usiku huo huo. then arudi home. Tuone kama mke angerudi asubuhi au vipi!
 
Eeeh bwana ukweli ni kwamba wanawake wa siku hizi wanapenda kuolewa ili wawe na miji yao na si kwamba huwa wanawapenda wanaume wanao waoa ndo maaana wanaolewa lakini bado wale ma xb wanaendelea kula mambo kwani huyo ndiye anaempenda sema hayuko tayari kuoa mi taua mtu acha bwana mke anauma sana tena watu wa siku hizi wanao fanya wake za watu ni noma wengi wanawala tigo kwa sana sasa fikiri we mkeo unamheshimu humli tigo kumbe mwenzio ni mchezo wake wanamla huko nje ya ndoa unaona eee sasa kwaninin usiue mtu naua mfanyaji kwanza alafu anafata mfanywaji tatu nami najiua tu basi bwana aiseee mke anauma acha
Kweli kabisa Madiya hao wezi wa wake za watu wanatumia mautundu yote katika mapenzi na wanawateka kwelikweli. Wanawafanyia hata yale mambo ambayo humfanyii mkeo ikiwa ni pamoja na kuwala TIGO, hapo mkeo anaweza kukusahau!
 
Back
Top Bottom