JP kwanza tumpongeze huyu kijana kwa ujasiri na risk taking ya maisha yake aliyofanya kwa mambo mawili: 1.Kummega mke wa mtu pekupeku kwa nyakati hizi inahitaji ujasiri wa chizi. 2.Kummega mke wa mtu kwa ufundi mpaka akapata mtoto wa kwanza, ufundi ukaendelea, wa pili na mwisho wa tatu hebu fikiria kama huyo bwana asingekuwa na matatizo haya yanayofikiriwa kwamba siyo productive. Hao watoto anaofikiria kuwa dai leo ndio ingekuwa ticket ya kuzimu.wana JF,
Kuna jirani yangu ambaye alikuwa anauhusiano wa kimapenzi na mke wa mtu. Ameniambia kwamba mwanamama huyo ndiye aliye mshawishi wawili hao wawe wapenzi bila kujali mumewe (ndoa yake). Baada ya miezi 5 mwanamama huyo alipata ujauzito na alipojifungua mtoto alifanana kabisa na rafiki yangu. Mume wa mwanamke wala hakuhoji!!
Baada ya muda wapenzi hao waliendelea na kamchezo! Mama huyo akapata ujauzito tena na mtoto wa pili alifanana na huyu rafiki yangu! Huyu rafiki yangu yeye aliogopa na kuamua kuhama mji kwani alihofia usalama wake kwa mume wa yule mwanamama.
Alikaa mkoa wa jirani takribani miaka mi tano! Rafiki yangu huyo baada ya muda alirejea tena jijini Arusha na kukuta katika kipindi chote hicho yule mwanamama na mumewe hawajapata mtoto mwingine.
Yule mwanamama alianza tena tabia yake kwa kumhakikishia kwamba mumewe hana tatizo na hawezi jua kuhusu uhusiano wao! Punde yule mama akashika ujauzito! Alipojifungua mtoto wa tatu alifanana sana na huyu rafiki yangu.
Ndipo huyu rafiki yangu aliamua kufuatilia kwakaribu ili ajue undani zaidi na ndipo alipogungua kwamba mwanamama huyo na mumewe walikuwa wamepanga mchezo wote kwani jogoo la mumewe 'haliwiki'
Sasa wana JF, huyu kijana hajaoa lakini anauhakika wa 100% kwamba watoto wale watatu ni wake...
Je, anayohaki ya kuwadai watoto hao kuwa ni wa kwake?
Je, afanyeje ili aweze kutendewa haki?
asithubutu kufanya hivyo.
Aoe mke azae watoto wake mwenyewe yaishe.
Hao watoto ni huyo jamaa, maana amewatunza na kuwafikisha popote walipo.
Familia/Ndoa zinatunza vituko na vibweka vya ajabu sana...!
Nina imani ulimaanisha aoe.Mi namwombea kwa Mungu azae mwanamke MGUMBA! Shaitwain Ibilisi huyu!
Mi namwombea kwa Mungu azae mwanamke MGUMBA! Shaitwain Ibilisi huyu!
huyo kijana ni mpumbavu sana!!!
hana chake hapo yeye alikuwa anapanda DECI
hee na kina mama mbona tuna hatari sana jamani ?
Mkubwa Inawezekana jogoo akawa anawika na unamwaga mbegu lakini mbegu zikawa ni week.., haziwezi kurutubisha yai kwa kitaalamu wanaita oligospermia teh tehMambo haya bwana...sasa alioaje mke wakati kumbe ni joka la kibisa?? kisheria hana haki ya kudai hao watoto...
Mambo haya bwana...sasa alioaje mke wakati kumbe ni joka la kibisa?? ...
Mkubwa Inawezekana jogoo akawa anawika na unamwaga mbegu lakini mbegu zikawa ni week.., haziwezi kurutubisha yai kwa kitaalamu wanaita oligospermia teh teh