Mwenyewe hii issue nilisikia mara ya kwanza Vlad Tv kutoka kwa Michel'le mwenyewe. Iko twisted kwa namna flani, ila ukimsikiliza unaelewa kiasi fulani.
Dre alikuwa abusive sana, according to huyu bibie. Na mara nyingi, Suge ndio alikuwa karibu kumsikiliza na kumliwaza. Nadhani ingeweza kumtokea mwanamke yeyote katika hiyo situation.
Manzi huwa akitoka kwenye uhusiano uliokuwa na mifarakano mingi, mara nyingi huamia kwa yule aliyekuwa karibu nae kumsikiliza. Ndio maana wanasema, "A shoulder to cry on, often turns a D to ride" kwenye huu muktadha.
Inawezekana hili la Suge kuzaa na huyu lilichangia kuua Deathrow Records?
hata kina Dash na Jay Z naona Jay z ashatembea na Rachel Ray...
mara Dash na Beyonce rumors....
Ila simpatii picha suge km anaweza kumliwaza mwanamkeMwenyewe hii issue nilisikia mara ya kwanza Vlad Tv kutoka kwa Michel'le mwenyewe. Iko twisted kwa namna flani, ila ukimsikiliza unaelewa kiasi fulani.
Dre alikuwa abusive sana, according to huyu bibie. Na mara nyingi, Suge ndio alikuwa karibu kumsikiliza na kumliwaza. Nadhani ingeweza kumtokea mwanamke yeyote katika hiyo situation.
Manzi huwa akitoka kwenye uhusiano uliokuwa na mifarakano mingi, mara nyingi huamia kwa yule aliyekuwa karibu nae kumsikiliza. Ndio maana wanasema, "A shoulder to cry on, often turns a D to ride" kwenye huu muktadha.
Ila simpatii picha suge km anaweza kumliwaza mwanamke
hii sauti mbona kama ya wema? au amechoma sindano nn?
Huyu Mchelle nahisi alikuwa tu 'mapepe' hadi Tupac kumbe....
labda aliangalia zaidi nani anampa pesa....ya wakati huo
hii sauti mbona kama ya wema? au amechoma sindano nn?
Huyu mwanamke atakuwa wa ajabu
yaani mijitu aliyoifuata sio type za 'kumliwaza' mtu
naona wote walim treat kama groupie
Deathrow ilipokufa hawa kina Daz ndo waliathirika zaidi
Snoop na Dre wameweza ku shine.baada ya Deathrow....