Amewakoseeni nini??

Mods ondoeni hii kitu,,,,iko kinyume na maadili ya jf.
 
You are insulting Christianity. This is a cross and the cat is crucified on the cross. Moderators where are you. This will cause havoc. Be ware!
 
Hawa jamaa dah! sasa wanamfnanisha nani? Dah aya bwana.
 
you are insulting christianity. This is a cross and the cat is crucified on the cross. Moderators where are you. This will cause havoc. Be ware!
...noooo broda, cristianity haiko kwenye mti wa msalaba. Kumbuka pale msalabani walikuwepo majambazi waliosulubiwa pamoja na YESU, so hii ilikuwa culture ya wayahudi...
 
Kwa hiyo na wale majambazi ni wakristu watakaTifu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…