Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,315
Kabisa. Wanajua makeup hasa sio shuruba hiziDada zetu wa leo hawezi hayo.
Mkuu endelea tu kuombea mafanikio nchini kwetu. Hivi vipo tena zaidi.Mpaka leo kuna visima vya dizaini hii mkuu?
Labda alitumia drone au selfie stickNawaza daraja likikatika hapo walio chini watakuwa na hali gani?
Camera man alisimama upande gani wakati anapiga picha hii?
Mjomba karibu kijijiniDuh ni wapi hiyo mkuu
Hapana mke wangu @ Sky Eclat, kanisa limekuchimbia kisima chenye mota inayoendeshwa kwa sola usiogopeMume kama ndiyo tutakavyoishi hivyo basi ngoja nifirie tena kabla ya kusema I do.
Wanawake wajasiri sana ila sio woteAlafu anakuja mtu anatukana wanawake