Ametoa mimba nashindwa kumwacha

Ametoa mimba nashindwa kumwacha

kwanza mpe mimba nyingine ndo umwoe
pengine yai la uzazi lilikuwa moja tu.
 
Huyo binti ana dhambi ya kuua
nawe una dhambi ya uzinifu
nadhani dhambi zote ni sawa mbele za Mungu. Msamehe muendelee na maisha.

kwani kazini na nani? nahuyu aliyezini naye hana dhambi ama? kama ni dhambi wote wanayo sio dada tu.

nilichomaanisha ni
Huyo binti ana dhambi ya kuua+ uzinifu
huyo kaka ana dhambi ya uzinifu
ulisahau hiyo ya uzinifu ya huyo bint sikupingana nae
 
Yah ni kweli wote wazinifu hvyo mkaka asimuhukumu sana huyu binti.
nilichomaanisha ni
Huyo binti ana dhambi ya kuua+ uzinifu
huyo kaka ana dhambi ya uzinifu
ulisahau hiyo ya uzinifu ya huyo bint sikupingana nae
 
bro wote mmefanya makosa,mm ushauri wangu ni kuachana na uyo binti .
ukweli utampata mwanamke mwenye mtazamo wako wa kiimani kwa uyo cyo sahihi kwako.
umeweza kumwacha Mungu wako kisa yeye?tafakari mara mbilimbili.
 
Ndo wale wale wanawake ambao hupata wanaume wanawaopenda na kuchezea bahati hzo afu wanaenda kwe mitandao na kusema "wanaume hawafai"

Mkuu hapo si mahali pa kujengea makazi ya kudumu moyo wako,ondoka fasta moyo wako usifanye uwe wa majaribio
 
Huyo mwanamke wako ni malaya PERIOD AND FULL STOP.Katika pitapita zangu ni asilimia ndogo sana kusikia eti mwanamke anamlazimisha mwanaume atembee nae ili kuthibitisha kama kweli mwanaume yuko sawa yaani ni 0.000002%.So alikuwa malaya tu hana lolote na kwa taarifa yako mimba hiyo haikuwa yako ndio maana akaichoropoa kuogopa copy inaweza isifanane na original so ukipeleka kwa watalaam wa kusecertify kama ni true copy of original ingekuwa issue.

By the way kama kweli ingekuwa mimba ni yako na wewe umeonekana kuwa responsible 100% kwa nini hakuitunza? Wangapi wanasoma na nyumbani wameacha watoto wa kunyonyesha, wangapi tena walokole wanafunga ndoa tena kanisani wakati matumbo yameshajazwa? In short huyo hakufai lakini ukijifanya una upendo wa Agape just go on but you better listen and open your ayes.Nasema hivo maana ndoa is not just ndoa, ndoa ina mambo mengi sana ndugu yangu.Na mwanamke is not just her buttocks, mwanamke ni zaidi ya hayo makalio watu wanayokimbilia.Unatakiwa kujipanga na kuwa tayari si kukurupuka eti for the sake of fake love.

Kule kwetu kuna msemo wanapenda kusema kuwa eti hata mboga iliyoungwa inamwagwa,so pete na kukufahamu kwao na yeye kufahamika kweni its not a guarantee. Pete sio ndoa inavulika vizuri tena pete za siku hizi za kumwambia eti darling fumba macho nikusurprise tena mkiwa bar zina ugumu gani? Usijilazimishe kukaa kwenye huzuni milele simply because of your parents and your friends.Live your life to the fullest
 
Ushauri wa bure;huyo hakufai tena kuwa mke achana nae,pili mumeshawahi kupima ngoma? chuo kuna ukimwi tuulize sisi tuliobahatika kudeal na health issues of youths at university,tatu kushindwa kufanya maamuzi magumu ni chanzo cha umasikini eg.umekutana na demu hamujapima huna condom unataka uingize dudu alafu ukimaliza unajilaumu(uboya),mwisho kwa faida yako na wengine ni PM-nikupe alama ktk mwili za kumjua aliyewahi kushika mimba ili usije kuingia mkenge ukipata manzi mwengine(hopelly huo mcharuko lazima uupige chini)
 
Pole xana kaka! But in short she dont love u! Na nadiriki kusema it waz not ur pregnance, achana nae manake kama kaweza kuuwa kiumbe kisichokua na hatia atakaye fuata ni wewe,, she dont love u! I decide 2 say she iz a KILLER, wanawake wapo wengi ebu muonge mungu manake huyo hana hata hofu ya mungu, very sory 4what happned but 4real take care.
 
honestly, usimuache...au jiandae kumtafuta mwingine kwa miaka 10
 
Maelezo yako yanadhihirisha wazi kwamba pamoja na kitendo alichokifanya huyo mchumba/mpenzi wako, bado unampenda! "U".
 
Shirikisha akili kaka, ukiuachia Moyo tu huwezi kuona ubaya wa hilo kosa alilotenda, mapenzi ni upofu. Hilo sio kosa la kusamehe, maana huo ni uuaji kabisa.
 
Back
Top Bottom