Ametoa mimba nashindwa kumwacha

Ametoa mimba nashindwa kumwacha

Huyo binti ana dhambi ya kuua
nawe una dhambi ya uzinifu
nadhani dhambi zote ni sawa mbele za Mungu. Msamehe muendelee na maisha.
 
mmh wewe huyu huyu unasema mimba kitu gani wewe huyu huyu unawaonea huruma wanaoflash
which is which

Nawaonea huruma kwasababu ina wa affect kiakili na kimwili... unajua kuna watu mimba kwao ni mtihani mzitoo...
Usipotumia kinga kitu cha kwanza mnachosemaga "Naogopa mimba".. hamuwazi ata HIV!!!
 
kwa asilimia kubwa yawezekana ikawa hvyo......mana hakuwa na sababu ya kufanya hvyo kama anauwakika ile mimba ni ya mchumba wake ambaye hata pete amemvalisha.....na nyumbani wanamfaham........hafu anaelekea mzoefu mana hata hashtuki kama kakosea......yeye anaona poa tu.
Hata mimi nahisi huyo mdada si mwaminifu ndio maana hata alijitia kumlazimisha kwa kisingizio cha kuangalia kama ni rijali
 
Nawaonea huruma kwasababu ina wa affect kiakili na kimwili... unajua kuna watu mimba kwao ni mtihani mzitoo...
Usipotumia kinga kitu cha kwanza mnachosemaga "Naogopa mimba".. hamuwazi ata HIV!!!

sasa mbona ulisema mimba kitu gani
wanaotupaga mimba wenyewe wanaziogopa(kuzikataa) sasa wewe uliyepokea utaacha kuiogopa....?
 
sasa mbona ulisema mimba kitu gani
wanaotupaga mimba wenyewe wanaziogopa(kuzikataa) sasa wewe uliyepokea utaacha kuiogopa....?

My dear Heaven on earth.. Mimi ata utoe mimba zangu kumi siwezi kukuacha as long as bado tuna pendana..najua you did it for a reason... ndo maana nikasema mimba kitu gani!!!Huwezi ukamwaribia mtu future kisa mimba bana..
 
Mkuu kwao wananifahamu tangu mwezi wa kumi mwaka jana
Kwao kukufahamu sio hoja mkuu. Nakumbuka kuna familia flani kuna mdada aliwahi toa mimba sijui kama kweli ilikua ya mchumba wake . Mchumba wake aliumia sana basi akamsamehe wakafunga ndoa bwana ndoa ile hawakujaliwa kupata mtoto waliishi takriban miaka 18 mwisho wakaamua kuachana. Hivi ninavyoandika ndoa ile haipo tena. Huyo mchumba wako yaelekea mzoefu ktk mambo hayo na anjua kuwa wewe ni mpole ndio maana anakufanyia hayo yote kwa maana nyingine anakufanya wewe -----. Chukua hatua mapema yasije yakakukuta makubwa , hebu jiulize kwanini hakukutaarifu huo mpango wake wa kuflash. Huoni kwamba hana punje ya woga. Mimba bwana ukiipata kabla ya ndoa ni jambo linaloumiza sana kichwa mara zote wahusika walikua pamoja sana na wapenzi wao hivyo waliamua maamuzi kwa pamoja na waliyasimamia.
 
pole xana kaka kwayaliyokupata bnafsi nachofaham nikwamba kama kaweza kuhatalisha maisha yake nakukitoa kiumbe kilichoko ndani ya tumbo lake basi jua kwamba hata wewe pind utakapozingua hatashidwa kukuondoa uhai. Take care na tafakali mara mbili ndio uchukue maamuzi usikulupuke.
 
My dear Heaven on earth.. Mimi ata utoe mimba zangu kumi siwezi kukuacha as long as bado tuna pendana..najua you did it for a reason... ndo maana nikasema mimba kitu gani!!!Huwezi ukamwaribia mtu future kisa mimba bana..

nimekuelewa my dear Mong'oo
ila mnaemwaribia future ni yule mnaemtoa au yule anaetoa
 
Last edited by a moderator:
Kwao kukufahamu sio hoja mkuu. Nakumbuka kuna familia flani kuna mdada aliwahi toa mimba sijui kama kweli ilikua ya mchumba wake . Mchumba wake aliumia sana basi akamsamehe wakafunga ndoa bwana ndoa ile hawakujaliwa kupata mtoto waliishi takriban miaka 18 mwisho wakaamua kuachana. Hivi ninavyoandika ndoa ile haipo tena. Huyo mchumba wako yaelekea mzoefu ktk mambo hayo na anjua kuwa wewe ni mpole ndio maana anakufanyia hayo yote kwa maana nyingine anakufanya wewe -----. Chukua hatua mapema yasije yakakukuta makubwa , hebu jiulize kwanini hakukutaarifu huo mpango wake wa kuflash. Huoni kwamba hana punje ya woga. Mimba bwana ukiipata kabla ya ndoa ni jambo linaloumiza sana kichwa mara zote wahusika walikua pamoja sana na wapenzi wao hivyo waliamua maamuzi kwa pamoja na waliyasimamia.
mhusika anabidi amchunguze huyo mchumba wake kwa jicho la tatu.......kama ni tabia yake hata kwenye ndoa anaweza ku flash kimyakimya.......
 
mhusika anabidi amchunguze huyo mchumba wake kwa jicho la tatu.......kama ni tabia yake hata kwenye ndoa anaweza ku flash kimyakimya.......
Unajua dear haiingii akilini kabisa yaani anatoa mimba bila muhusika kujua na alipouliza anaambiwa siku zake zilipitiliza tu hakua mjamzito. Huyo bwana ni mzoefu ktk hilo sema kwa bahati mbaya vijana wenye tabia kama ya huyu mkaka hupata wadada vicheche kweli kweli japo sio wote lkn baadhi yao huwakuta kama haya. Kwenye ndoa ukiingia na type hii ya partner lazima ulie baadae, halafu unaenda kwa wapendwa kuomba wakuombee jamani. Hapo hakuna shetani wala nini kijana afanye maamuzi magumu tu.
 
Jamaa yangu usipokuwa makini hapa unachukua kimeo, mwanamke mwenye uwezo wa kuteketeza kiumbe kisicho na hatia bila hata kujutia siyo mke wa kuoa. Hata walio kwenye ndoa wanapata majonzi sana pale mimba zinapoharibika sembuse huyu aliyeteketeza mwenyewe. Ndg uchumba siyo kifungo nakushauri ufanye maamuzi sasa au usifanye tena milele, yaani uamue kumwacha sasa uokoe nafsi yako au umchukue ukubali kupokea changamoto zitakazojitokeza.....hayo ndiyo yangu tumia akili hapa unapigwa changa la macho.
 
Unajua dear haiingii akilini kabisa yaani anatoa mimba bila muhusika kujua na alipouliza anaambiwa siku zake zilipitiliza tu hakua mjamzito. Huyo bwana ni mzoefu ktk hilo sema kwa bahati mbaya vijana wenye tabia kama ya huyu mkaka hupata wadada vicheche kweli kweli japo sio wote lkn baadhi yao huwakuta kama haya. Kwenye ndoa ukiingia na type hii ya partner lazima ulie baadae, halafu unaenda kwa wapendwa kuomba wakuombee jamani. Hapo hakuna shetani wala nini kijana afanye maamuzi magumu tu.
ashukuru Mungu ameonyeshwa huyo mchumba ana tabia gani.......aogope hili neno ''NINGEJUA''
 
Ndugu wanajamii mimi ni mwanaume wa miaka 27 na nimekuwa na mahusiano ya kwanza na mwanamke kuanzia 2011.Tangu nibalehe sikuwahi kufanya ngono kutokana na msimamo wangu wa kidini,tarehe 30 may 2012 nilivunja msimamo wangu baada ya kujiridhisha na mwanamke ambaye nilijua nitamwoa na nilifanya baada ya yeye kuwa na wasiwasi kuwa huenda nina mapungufu na alikuwa tayari kuachana nami kama ningemkatalia.Haikuwa shida nilifanya kumthibitishia uwezo wangu na baada ya hapo nilitaka tufunge ndoa maana sikutaka kuzini tena ila alikataa akiomba amalize masomo ya chuo kikuu kwanza pale UDSM.Tuliendelea na ule mchezo na mwaka huu alishika mimba na nikamhakikishia kuitunza hivyo asitoe baada ya miezi miwili aliniambia kuwa alikosea tu kujua mzunguko wa siku zake na hakuwa na mimba,ilinishangaza sana baada ya muda aliniambia kaka yake amegundua kuwa alikuwa na mimba baada ya kuona meseji kwenye simu yake ya dakitari aliyetoa akidai ampelekee pesa yake hivyo aliniomba niseme sijawahi kufanya nae ngono ikiwa babaye au kaka yake angeniuliza.Baba yake hakuniuliza na sasa anadai alikuwa sahihi maana aliogopa baba yake angeacha kumlipia ada maana hana mkopo,kiukweli nampenda sana na ndoa tulitaka kufunga December mwaka huu ila kwa hili nashindwa kuendelea na hata yeye hajutii na hajaniomba msamaha natamani kumwacha lakini moyoni nampenda sana naombeni ushauri wenu maana tayari hata pete ya uchumba nimemvisha home wanamjua na kwao wananijua Kiukweli nimeumia sana na nina msongo wa mawazo sana (Samahani kwa maneno mengi niliyotumia)
On red, ukiunganisha haingii akilini....!
On blue, pamoja na hayo, mbona hakukushirikisha mapema?

Note: Wanawake huwa hawana tabia ya kuuliza kama ungependa afanye nini, au usingependa afanye nini, bali hufanya ili kukosoma kwenye reaction yako...! So, ukimsamehe, utegemee makubwa mbeleni...! Na usipomsamehe, itakuwa fundisho kwa mwingine utakayekutana naye huko mbeleni; provided ameshuhudia hilo....! Again; Usimuoe mwanamke kwa sababu umempenda, bali muoe mwanamke kwa sababu amekupenda....!
 
Aisee! Yan hapo huyo binti anaonekana ni muongo afu keshazoea hako kamchezo ka kuchoropoa! Unadhan kwanini hajakushiriksha ktk kuitoa?think twice! itakuuma bdaye iktokea umemuoa alaf no kids huku ukijua kilitokea nin huko nyuma! What is uchumba by the way ? Znavunjika ndoa loh but ckilza moyo wako unataka nini! All the best!

ITAMUUMA,Lakini hakuna binadamu asiyesahau!,
 
Unajua dear haiingii akilini kabisa yaani anatoa mimba bila muhusika kujua na alipouliza anaambiwa siku zake zilipitiliza tu hakua mjamzito. Huyo bwana ni mzoefu ktk hilo sema kwa bahati mbaya vijana wenye tabia kama ya huyu mkaka hupata wadada vicheche kweli kweli japo sio wote lkn baadhi yao huwakuta kama haya. Kwenye ndoa ukiingia na type hii ya partner lazima ulie baadae, halafu unaenda kwa wapendwa kuomba wakuombee jamani. Hapo hakuna shetani wala nini kijana afanye maamuzi magumu tu.

Ablessed, my dear, hayo maamuzi mazito ndio yapi, tusiwe kama wanasiasa wa Tanzania, tumwambie ukweli, kama ni kuachana naye ndio maamuzi mazito aachane naye, na kama ni kuendelea naye ndio maamuzi mazito aendelee.

Nasema hivyo kwa sababu, maamuzi mazito ni all weather, kumuacha ni uamuzi mzito hata yeye ndio kinamtesa, na hata kuendelea kuishi na mtu muuaji (a killer) nayo ni maamuzi mazito pia, whichi is which. We need to be specific on our suggestion to the guy.

Kama ni mimi nasema aachane naye, uchumba sio big deal, after all he has the reason behind to break that poor relationship.
 
Back
Top Bottom