Make decision mpendwa
Kujitoa kwa mtu kiasi hicho afu mwenyewe haeleweki haipendezi
Kumbe hata na wewe Chocs mwanamke mwenzie umeligundua hilo eeh!
Kama alishampa guarantee ya kumuoa kwa nini amzunguke kwenda kutoa mimba... hapo ndugu yangu una weweseka na kivuli cha mwanamke...lakini huna wife to be hapo. Sasa subiri surprise akimaliza hiyo shule tu. Kwa maana matendo na kauli zake zinaacha mashimo mengi Haya bwana Kazi kwako mkuu.!