Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,441
- 38,432
Mi napenda lugha yako!Una moyo wa pekee tena ukute umemkula kavu kavu bila kupima kiufupi unampenda endeleeni kulana tu
Mi napenda lugha yako!Una moyo wa pekee tena ukute umemkula kavu kavu bila kupima kiufupi unampenda endeleeni kulana tu
Na yenyewe inakupenda pia slimMi napenda lugha yako!
Mwanamke huwa na ile dhana kuwa ukishampenda huwezi kumuacha na pia hujiaminisha ktk umbile lake huku akiweka nguvu kweny K yake.Kaka mimi huwa sijui wanawaza nn. Mm nilitemwa hivyo hivyo, i was loving and caring. Baada ya miaka mi nne akanitafuta, sijui namba yangu aliipataje ,alikuwa amechoka sana yaani kachakaa sijui nn kilimkuta. Nilimpotezea 500%.
Malipo huwa ni hapa hapa duniani
Kweli kabisa mkuuMwanamke huwa na ile dhana kuwa ukishampenda huwezi kumuacha na pia hujiaminisha ktk umbile lake huku akiweka nguvu kweny K yake.
Kinachomponza mwanamke ni ile mitongozo na umri wake mdogo. Akipita mitaa fulani anatongozwa na majaa mahandsomes, wenye pesa na wenye fake love. Baada ya kugundua hao ni walaghai, hata km ipite miaka 10 atakuja na anajua utamkubali sbb ulimpenda, kumjali na kumthamini kwahiyo nafasi yake ipo tu.
Kipindi anarudi, atatafuta namba yako popote pale akishaipata atakutext, na mwanamke akiwa anatetea penzi lake atasema yote aliyokufanyia na maneno yakuomba msamaha yakiwa mengi sana. Km ulikuwa unabaniwa papuchi utapewa kila siku, utaitafuna mpaka uchoke.
Ni ngumu sana kujua mwanamke anataka nn.
Pole sana.
Well said bro. Wakati yananikuta nilishindwa kuelewa... mtu unampenda unampa kila kitu na bado anaondoka kwa kiburi.Mwanamke huwa na ile dhana kuwa ukishampenda huwezi kumuacha na pia hujiaminisha ktk umbile lake huku akiweka nguvu kweny K yake.
Kinachomponza mwanamke ni ile mitongozo na umri wake mdogo. Akipita mitaa fulani anatongozwa na majaa mahandsomes, wenye pesa na wenye fake love. Baada ya kugundua hao ni walaghai, hata km ipite miaka 10 atakuja na anajua utamkubali sbb ulimpenda, kumjali na kumthamini kwahiyo nafasi yake ipo tu.
Kipindi anarudi, atatafuta namba yako popote pale akishaipata atakutext, na mwanamke akiwa anatetea penzi lake atasema yote aliyokufanyia na maneno yakuomba msamaha yakiwa mengi sana. Km ulikuwa unabaniwa papuchi utapewa kila siku, utaitafuna mpaka uchoke.
Ni ngumu sana kujua mwanamke anataka nn.
Pole sana.
Wametoa seal wengine na wewe ulikuwepo.Kweli mkuu sina hisia zozote..ila kumuacha imekuwa ngumu maana kipindi hicho alibanaga hata sikumbandua..
Siku mzazi mwenzie akitaka kumsalimia mtoto inakuaje?Huyu mdada mkapime halafu mpe masharti awe mama wa nyumbani tu akikataa basi usimpokee, na simu yake umbadilishie laini, na simu yake uwe unaitumia mara zote basi hapo mtakaa sana na umuwekee mikakati unavyotaka wewe maana ulisha experience kitu kibaya kutoka wkake lazima umdhibiti
kuna ruksa ya mahakama kuwa mzazi mwenzake awe anakuja kumuona mtoto asubiri akue kidogo watakuwa wanaenda jirani kuna bar au grocery sehem ya wazi anampa mtoto wasiwe na mazungumzo yoyote baada ya kumuona anamuacha anarudi nymbani ila ahakikishe anampa hela ya matumizi ya mtoto sio aje tu amuone kwa saundi, anatuma kwanza pesa ndio anakuja kumuona.Siku mzazi mwenzie akitaka kumsalimia mtoto inakuaje?
Sasa hapo hauoni kuwa wa kutangatanga atampa mzazi mwenziwe kimya kimya kama alivyompa mtoa mada kimya kimya?kuna ruksa ya mahakama kuwa mzazi mwenzake awe anakuja kumuona mtoto asubiri akue kidogo watakuwa wanaenda jirani kuna bar au grocery sehem ya wazi anampa mtoto wasiwe na mazungumzo yoyote baada ya kumuona anamuacha anarudi nymbani ila ahakikishe anampa hela ya matumizi ya mtoto sio aje tu amuone kwa saundi, anatuma kwanza pesa ndio anakuja kumuona.
Mwanamke huwa anatumia moyo kuliko akili. Hawezi kung'amua upendo wa dhati na usio wa dhati.Well said bro. Wakati yananikuta nilishindwa kuelewa... mtu unampenda unampa kila kitu na bado anaondoka kwa kiburi.
Kejeli kibao... matusi.. lakin anakuja kurudi wakitumai kwamba umesahau yaliyotokea...
Wanakuja watakatifu kweli na misamaha mingi..
hawa viumbee waangalie tu.. ni watu wa ajab sana
Kuonyesha kuwa ,humhitaji hukutakiwa ht kusex naeHakuna mapenzi..yalishaenda kitambo sana!
Ww hisia unazo,usingekua nazo km unavyodai isingekua ngumu kumuacha km unavyosema!Kweli mkuu sina hisia zozote..ila kumuacha imekuwa ngumu maana kipindi hicho alibanaga hata sikumbandua..
Na atamtegeshea mimba azae mtt halafu ataona cha motoMpotezee mkuu kama humpendi..usije kumtia mimba akakung'ang'ania.
Unacheza na akili za wanawake ww,ss subiri akwambie ana mimba utaelewaNamaanisha bila makubaliano yeyote...hakuna tuliloliongea kuhusu mahusiano yetu, alitegesha nyapu nikapiga basi hakuna story za ziada!
Mwanamke akitangaza nia ni vizuri kumpotezea mapema kbsa. Haina haja ya kukutana ni hewani. Mwanamke akiwa anatetea penzi lake hufanya chochote kile ilimradi usimuache. Asipoangalia limbwata linamhusuUnacheza na akili za wanawake ww,ss subiri akwambie ana mimba utaelewa
Miss you....Na atamtegeshea mimba azae mtt halafu ataona cha moto