Mparee Halisi
Senior Member
- Jan 4, 2014
- 104
- 8
Afanye nini mtu aliyesimamishwa kazi ya Ualimu na anatakiwa apate haki gani kwa kipindi hiki?alienda kusoma bila ruhusa,Asanteni kwa michango yenu.
ana muda gani tangu amesimamishwa?
Huo ni utovu wa nidhamu na hapo unapoteza haki zote za msingi, mshauri akatafute kazi nyingineAfanye nini mtu aliyesimamishwa kazi ya Ualimu na anatakiwa apate haki gani kwa kipindi hiki?alienda kusoma bila ruhusa,Asanteni kwa michango yenu.