Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,546
- Thread starter
-
- #41
haa haa haa kakupiga mkwara tu, unafikiri wenye uwezo wa kuua wanasemaga basi, wao vitendo tu.
utaanza kufa wewe
Hahaha!!!
Hebu karibu hapa dukani kwetu ujichagulie 'kabati' lako kabisaaaa...maana mkeo muda si mrefu katoka kununua sumu ya panya hapa duka la jirani!!
mkeo ni mjinga, mie nitamuwekea kimya kimya bila kumwambia. lol
dah na wewe unaonekana una li roho libaya.we hujui kuua ni dhambi?
mwe!!!hata wewe?
Kuna watu wanafanyiwa ukatili wa nafsi wa hali ya juu,me binafsi nina moyo wa kupotezea...lakini si wanawake wote wanaweza 'kuachilia' maumivu yao.....so,piano piano KOZO....Take Care...
hahahah! habari ndo hiyo. kwahiyo mzee ushaanza urafiki wa karibu na israel? lol
Jihadhari, toa ripoti polisi maaana tayar ni kesho hiyo ya jinai, kama amesema kwa maandishi au namna ingne
toba!! mbona unazidi kuniogopesha?
Hugo ni gaidi live
Aisee mkuu kama akikuwekea ile damu ya hedhi? je hayo maziwa yatakusaidia?
Mbona tungeamua kuwa na mmoja kuna kundi kubwa litakosa utamu wa mwili???????????? Au hujawahi kuwafikiria hawa my dada.itakuwa raha sana mana munatukera!!
Au kama unaona lazma u cheat tupitishe mchango tukupe rambirambi zako kabisa!