Amerudi sijui nimfanyeje

Tatizo unamtizama kwa macho lege lege. Mtazame kwa kumkazia jicho sana.
 
mwanza yote yangu ok ushauri kutoka kwa yaliomkuta hivo hivo utafikri umeiga story.
PIGA CHINI. Hayo maumivu utakayopata ni ya mda tu na hayataringana na maumivu utakayopata kwa mawazo ya kukosa imani na huyo mke wako.

Ila tukumbuke tuna upande mmoja tu wa hadisi hapa. Mwambie wife a join JF pia basi naye amwage mboga ili washauri watoe unbiased opinion.
 
Last edited by a moderator:
Mgegede kwa hasira Mkuu
maana haijalishi ndio utamkomoa
ila unajifariji huwezi juwa wanaume wenzako walipiga style gani
HAINA SHOBO WA MAKOMBO
 
Mkuu usisahau kutupa matokeo sijui utampa vitasa sijui vimlango any way nasubiri kipenga cha mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…