BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
Yaani Dr nawe unaunga mkono hili? kwi kwi kwi kwi sasa mtafanya nikiingia mitini nisirudi tena humu na hata mtaani kujificha kwa kufaa zile kofia za kuziba mpaka macho na miwani ya jua ili msinistukie 🙂🙂
Haswaaaaaa hiyo itakuwa shughuli pevu