Amerudi na shanga kiunoni

Amerudi na shanga kiunoni

wanaume wengi mmekuwa wambea sijui ni hulka yenu au kisa jf? yaani mnaanika yoote mnavyoishi na wake zenu ingawa hatujuani ila mshaanza kukera kwa visired vyenu vingine havina maana!!

kwn kuweka wazi au kutokuweka wazi kunabadili nn mwilin....ww unadhan vile bwasheshe wako anavyokufumua ayo marinda ata ukifanya siri unadhan ilo tundu litarud kwenye hali yake ya awal.....ukwel na uwezo ndio mpango wa dunia ya sasa ivoo tutoleee apaaa idea zako za enzi za mwlm apaaaa
 
usimjibu mpu.mb.avu sawsawa na upu.mb.avu wake usije ukafanana naye!!!!!!!!!!!napita tu
 
hutakiwi kuogopa..hizo ni catalyst all u need ni ujue namna ya kuzitumia kunogesha kipute!
 
Mabadiliko Mabadiliko Mabadiliko.......

Unayaogopa tena Mabadiliko Ndugu!?
 
Mpo?

Nilimruhusu mke wangu aende kwao kipindi cha uchanguzi kwani kura yake aliichukulia huko wakati alipoenda kuwajulia hali.

Sasa kinachonitia kiwewe ni kuwa amerudi na shanga kiunoni.
Sijui kama nina jambo la kuhofia au ni hali ya kawaida.

Wazoefu niambieni kama kuna huenda kuna jambo!
Kaambiwa, kavaa, kafanya majaribio, kaja nayo kwako, hapo tayari
 
Mpo?

Nilimruhusu mke wangu aende kwao kipindi cha uchanguzi kwani kura yake aliichukulia huko wakati alipoenda kuwajulia hali.

Sasa kinachonitia kiwewe ni kuwa amerudi na shanga kiunoni.
Sijui kama nina jambo la kuhofia au ni hali ya kawaida.

Wazoefu niambieni kama kuna huenda kuna jambo!
KWA ULIVYOZIONA
ZINAFAA KUTENGENEZEA KACHA?
 
mbona hujawahi kumshangaa na kuanzisha uzi anavyonunua hereni, bangili, kusuka style mpya, bila shaka utakuwa mwanaume wa dar, kama hupendi mwambie atupe mbali au unataka tukuambie aligongwa ??? basi mimi nakushauri achana nae kabisa *****
 
Mpo?

Nilimruhusu mke wangu aende kwao kipindi cha uchanguzi kwani kura yake aliichukulia huko wakati alipoenda kuwajulia hali.

Sasa kinachonitia kiwewe ni kuwa amerudi na shanga kiunoni.
Sijui kama nina jambo la kuhofia au ni hali ya kawaida.

Wazoefu niambieni kama kuna huenda kuna jambo!
Ndio mara ya kwanza anavaa tangu muowane au alipoondoka nyumbani ulimvua?
Au nani anamnunulia hizo shanga akiwa kwako zaidi ya yeye au wewe?
Inategemea na mazingira yenu mlio zowea lakini mimi leo nivae shanga mpya
haijalishi wakati nimekwenda nyumbani au nimezinunua mjini kazi yake
nikuzi chezea sio kujua zilikoto wala alozitunga nani wala anaeuza nani...
 
Ukweli ni kuwa kwa wanawake wa pwani hiyo ni kawaida. wanapenda wajue waume zao wanapenda nini?. hivyo kama upendi mwambie na hatovaa tena. kuna uwezekano ukumwambia chochote kuhusu shanga hapo mwanzo. ila kiukweli wanavyochezwa wanafundishwa shanga si sehemu ya kuongeza starehe na heshima katika nyumba zao ila si kwa wanaume wote.
Hata mie nilifunzwa kuzivaa na faida zake na asikudanganye mtu hao waume wanaosema hawazipendi kwa wake zao wakiona huko nje wanawehukaa na kuzifata nikivaa mie ni wivu nisifatwe. Kingne jmn wanawke sio mnavaa mnaziacha njee ukiinama kidogo hizoo haifaii
 
Bibi yake mzaa mama kamwambia avae shanga ili zikupagawishe, kama unajua matumizi yake. Hakuna haja ya kulalamika kuhusu hili Mkuu kama huzipendi mwambie avue.

Mpo?

Nilimruhusu mke wangu aende kwao kipindi cha uchanguzi kwani kura yake aliichukulia huko wakati alipoenda kuwajulia hali.

Sasa kinachonitia kiwewe ni kuwa amerudi na shanga kiunoni.
Sijui kama nina jambo la kuhofia au ni hali ya kawaida.

Wazoefu niambieni kama kuna huenda kuna jambo!
 
Huna namna kunishawishi kuhusu shanga

Ok uko nae kwa mda gn kwenye ndoa na umewahi kuongea nae kabla ya kuja humu
 
Back
Top Bottom