yani mimi nashindwa kuelewa hizi ndoa za siku hizi, tumekua tukiona mababu na bibi zetu wakificha siri zao za ndani na kumaliza tofaut zao chumbani, bibi hata akiamka na ngeu asubuhi atakuongopea alijigonga kwenye kitanda kumbe alipigwa, ila kwa sasa kila kinachotokea chumbani kinaletwa hadharani mengine ni ya aibu mfichage aibu zenu na kusitiri mambo yenu chumbani chaa!
ulishindwa nini kukaa kitako na mkeo na kumuuliza kuhusu shanga, labda kafika kwao kafundwa kuwa inaongeza ujuzi, kama hupendi mambo hayo si unamwambia tu aitoe.
kaa na mkeo mkeo msemezane yeye ndo ana majibu wewe ni mume wake ana wajibu wa kukupa maelezo.