Amerudi na shanga kiunoni

Amerudi na shanga kiunoni

Bibi yake mzaa mama kamwambia avae shanga ili zikupagawishe, kama unajua matumizi yake. Hakuna haja ya kulalamika kuhusu hili Mkuu kama huzipendi mwambie avue.

Hatimae umeonekana aise!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mpo?

Nilimruhusu mke wangu aende kwao kipindi cha uchanguzi kwani kura yake aliichukulia huko wakati alipoenda kuwajulia hali.

Sasa kinachonitia kiwewe ni kuwa amerudi na shanga kiunoni.
Sijui kama nina jambo la kuhofia au ni hali ya kawaida.

Wazoefu niambieni kama kuna huenda kuna jambo!

Hiyo shanga ya kiunoni ni zawadi ya kuliwa na aliyemla huko kwao, pole sana.
 
Nimekurupuka huko mpaka nikatafuta angle nijibanze kwenye kasimu kangu haka nikijua labda umeweka picha ....kumbe ni story tu msosi kwenu.
 
Jamaa yake wa kijijini aliyemtoa bikira ndiye alimpa hizo shanga!Ni jambo la kawaida wapenzi wa zamani kushawishiana kuhusu shanga

Piga moyo konde mvumilie mkeo
 
Nafurahi kusikia uko bukheri wa afya, Muumba wetu ashukuriwe sana. Sasa kama kijiwe kimekosa utamu uliokuwepo miaka ya nyuma kwanini uzuke hapa hapa kila dakika wakati kilichokuwa kinakuvutia na kutaka kuwepo humu kila sekunde hakipo tena? Kheeeeee kheeeeee 🙂

Jamani ndio upotee namna hiyo?

Mie niko bukheri kabisa
 
Nafurahi kusikia uko bukheri wa afya, Muumba wetu ashukuriwe sana. Sasa kama kijiwe kimekosa utamu uliokuwepo miaka ya nyuma kwanini uzuke hapa hapa kila dakika wakati kilichokuwa kinakuvutia na kutaka kuwepo humu kila sekunde hakipo tena? Kheeeeee kheeeeee 🙂

Wewe mwenyewe ni sehemu ya utamu huo sasa ukikimbia ndio kabisa utamu unakata
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kheeee kheeeee sikujua kama BAK ni sehemu ya utamu wa humu lol! mimi nilikuwa najua ni mpita njia tu 🙂🙂🙂

Wewe mwenyewe ni sehemu ya utamu huo sasa ukikimbia ndio kabisa utamu unakata
 
Mie jukwaa langu kipenzi ni lile la siasa, sasa kule kuna wahuni wamekodiwa na kulipwa mapesa mengi sana, ukiandika kitu ambacho hawakipendi basi watarusha matusi ya nguoni. Ukiwafuata PM na kuwaonyesha kama nawe matusi unayajua na unayaweza maana kuandika matusi hadharani wengine si rahisi maana tuna maswahiba wetu humu ambao tunaheshimiana nao sana na ukirusha matusi wananuna. Sasa ukirusha matusi kwenye pm wanatoka mbio kwenda kwa MODS kushtaki kwamba wametusiwa na MODS wanakurupuka na kuweka kibano bila hata kutafuta ukweli wa habari. Basi ndiyo sababu baadhi humu wameamua kusepa kimya kimya. Kheeeee kheeeee 🙂🙂

Sasa ndio ujue upunguze kupotea sawa eeh

Tulimiss mambo yako si mchezo
 
Mie jukwaa langu kipenzi ni lile la siasa, sasa kule kuna wahuni wamekodiwa na kulipwa mapesa mengi sana, ukiandika kitu ambacho hawakipendi basi watarusha matusi ya nguoni. Ukiwafuata PM na kuwaonyesha kama nawe matusi unayajua na unayaweza maana kuandika matusi hadharani wengine si rahisi maana tuna maswahiba wetu humu ambao tunaheshimiana nao sana na ukirusha matusi wananuna. Sasa ukirusha matusi kwenye pm wanatoka mbio kwenda kwa MODS kushtaki kwamba wametusiwa na MODS wanakurupuka na kuweka kibano bila hata kutafuta ukweli wa habari. Basi ndiyo sababu baadhi humu wameamua kusepa kimya kimya. Kheeeee kheeeee 🙂🙂

Aii jamani! Nyie mods tawachapa nyie

Cc: Invisible
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom