Kiluuj
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 692
- 278
Mpo?
Nilimruhusu mke wangu aende kwao kipindi cha uchanguzi kwani kura yake aliichukulia huko wakati alipoenda kuwajulia hali.
Sasa kinachonitia kiwewe ni kuwa amerudi na shanga kiunoni.
Sijui kama nina jambo la kuhofia au ni hali ya kawaida.
Wazoefu niambieni kama kuna huenda kuna jambo!