Amerudi anachechemea

Aisee!!! Kwa nini uwe na namba ya simu ya mtoto mdogo kama huyo. Tena wewe upo kwenye ndoa?

hapo ndio pa kuanzia, hata akiulizwa atajieleza nini! Alianzaje? Mawasiliano ya nini? DreamChaser
 
Last edited by a moderator:
duh pole mkuu, kumbe unaweza pima kujua kama kaingiliwa au la
 
ahaaaaaaa? mwenzio alitafsiri umerusha kete, sasa hapo usikuta kana mimba!!!!!!! hama hapo kama hiyo ndoa unaitaka kabla yua huyo mkeo kurudi, vinginevyo unasababisha mke wako nae aende mchepukoni!!!!!!
 

Koooote ulikuwa unazunguka Mshana Jr.. Hapo kwenye red ndo ulipokuwa unapataka.. Kajilie ila kumbuka bado kana akili za kitoto..
 
Last edited by a moderator:
mshana jr!!!!kuna wimbo niliwahi kusikia ...unaitika kabla ya kuitwa!!wewe nini shaka yako hadi ufikiri hayo yote!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…