Americans using Libya to launch Africom

Americans using Libya to launch Africom

Mzee2000

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2009
Posts
528
Reaction score
221
Baada ya nchi za africa kukataa kambi za Africom kwenye ardhi zao, america bado wana uchu s wa kuunda kambi za africom. Africa kuna kila kitu, yaani mafuta, madini nk na wamarekani wana wivu sana na wachina ambao wanajichimbia afrika kupata malighafi kwa ajili ya viwanda vyao.

Nia ya wamarekani libya ni polepole ni kujiingiza ( maccain alkuwa benghazi juzi tu hapa) watawahadaa hao waasi kwa kisingizio cha kumuondoa ghaddafi,na baadae kuweka ngome ya africom Libya ya moja kwa moja.Mashambulizi yote wanayofanya america sasa hivi libya yanafanywa na AFRICOM.

Tujihadhari, africom in africa means WARS that will never end!
 
Insha'Allah kabla Africom America is no more
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom