kinda la baba
Senior Member
- Jun 13, 2024
- 117
- 126
Habari za mchana wakuu ,bila kuwa chosha kama kichwa cha habari hapo juu.Huko marekani kuna mashindano ya kuonesha vipaji yaani marvel talent, nafikiri mashindano hayo ni muda kidogo (sina hakika sana)
Swali je wanachofanya pale jukwaani wahusika kuonesha vipaji vyao ni kweli uchawi unahusika au ni kiini macho? Maana inafikirisha sana kuona mtu anabadilika kwa hadhira laivu kabisa kuwa simba au chui nk.wananyaje fanyaje wale watu kubadilika vile jukwaani?🙄