Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,149
- 137,150
Napendekeza huu uzi ndo uwe uzi maalumu wa uchaguzi mkuu wa Marekani 2016.
Nimeshawasiliana na mods ili waweze kuziunganisha nyuzi zingine zote kuhusu huu uchaguzi, na huu uzi.
Zaidi ya hapo...ungana nami katika kampeni ya ABT....Anybod But Trump.....