American Computer scientists say they have strong evidence election was rigged against Clinton

amygdala

JF-Expert Member
Jul 11, 2016
1,078
2,000
Siyo kweli Trump ni game changer kwenye World politics na ndiyo maana wanahangaika naye sana tangu mwanzoni kabisa kumbuka hakuna mgombea aliyepigiwa negative campaign kama Trump, hivyo kuna sababu, kama wanajua kwamba hakuna jipya na kila kitakuwa ni muendelezo wa Obama wasinge hangaika hivi wangkubali tu yaishe lkn angalia maandamano nchi nzima mpaka wameanzaisha Kampeni ya Calexit yaani California kujitoa USA kama Trump akiapishwa!!
hayo mambo yanawezekana kwe nchi kama Russia, turkey, Syria au Venezuela yaan design ya nchi ambazo zina authoritarian leadership, kwe nchi kama US ama zile za western europe inakuwa ngumu mno kubadilisha zile foreign policies za nchi......kumbuka pia hata republican wenyew kuna mambo meng tu wanatofautiana na trump likiwemo swala la mahusiano ya marekan na russia. akizingua wanaweza hata kum impeach tena itakua rahisi tu maana hata repiblican wenzake wanaweza mkana..yule mwenzie alipigwa blowjob ofisin wakataka kum impeach sema akatokea kwe tundu la sindano..moja kati ya maswala ambayo yataleta utata kwe utawala wake ni jins atakavyoish na putin coz kumbuka marekan imewin ushwish eastern Europe kwa kui demonize Russia, sasa leo yeye ansema russia is not a problem hahahaaa anaua biashara za kina boeing na lock held there is no way wenye nchi wakakubali hio kitu kabisa
 

Mshinga

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
3,536
2,000
Hii itasaidia nini tena na mfumo wa marekani ni wale wajumbe 538? ata Clinton apate kura milion ngapi kwenye wajumbe wa majimbo tayari wamemkubali Trump. sioni mvuto wowote mana haitabadilisha matokeo.
Kura za wajumbe bado hazijapigwa mpaka tarehe 19/12/2016. Na kama kura zitahesabiwa upya na kutoa matokeo tofauti basi huenda swala hili likafika mahakamani na kuamriwa mshindi wa kura halali katika hayo majimbo. Na kama Clinton kashinda basi Trump atapokonywa hayo majimbo na Urais unahamia kwa Clinton.But mpaka kura zihesabiwe upya.
 

morenja

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
4,437
2,000
Hii itasaidia nini tena na mfumo wa marekani ni wale wajumbe 538? ata Clinton apate kura milion ngapi kwenye wajumbe wa majimbo tayari wamemkubali Trump. sioni mvuto wowote mana haitabadilisha matokeo.
Ujaona hapo imeandikwa zikijumlishwa kura za majimbo ameibiwa kura 46 za majimbo
 

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,156
2,000
View attachment 438429

MAREKANI: Jopo la Wataalamu wa TEHAMA baada ya uchunguzi ladai Hillary Clinton aliibiwa kura na Wadukuzi ktk Majimbo matatu muhimu.

Wataaamu hao wamedai kuwa Wadukuzi hao waliiba kura katika Majimbo ya Michigan, Wisconsin na Pennsylvanian ambayo yanaidadi kubwa za kura.

Aidha jopo hilo limemshauri Hillary Clinton na Kambi yake waombe kura zihesabiwe upya katika majimbo hayo.

Hawa wapuuzi; siyo wao waliokuwa wanadai kabla ya uchaguzi kuwa Trump alikuwa anaonesha kutooamini system? aliposema kuwa "system is rigged" na kuna uwezekano wa "voter fraud" ni wao waliosimama na kusema haiwezekani. Kwa vile Hillary kashindwa sasa wao ndio hawaamini system?
 

Kishada04

JF-Expert Member
May 1, 2016
955
500
Sidhani kama muujiza mwengine utatoke kwenye huu uchaguzi wao zaidi ya ule uliopita wa Trump kuibuka mshindi.
 

binbaraghash

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
3,382
2,000
Kura za wajumbe bado hazijapigwa mpaka tarehe 19/12/2016. Na kama kura zitahesabiwa upya na kutoa matokeo tofauti basi huenda swala hili likafika mahakamani na kuamriwa mshindi wa kura halali katika hayo majimbo. Na kama Clinton kashinda basi Trump atapokonywa hayo majimbo na Urais unahamia kwa Clinton.But mpaka kura zihesabiwe upya.

Unazungumzia uchaguzi upi? wajumbe wapi ambao hawajapiga kura? Trump katika kura za wajumbe tayari amempita Clinton zaidi ya kura 270 tayari zimehesabiwa na Clinton amekubali kushindwa sasa kura zipi hazijahesabiwa., hizo kura za wananchi sasa hazina mvuto tena
 

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,608
2,000
Hawa wapuuzi; siyo wao waliokuwa wanadai kabla ya uchaguzi kuwa Trump alikuwa anaonesha kutooamini system? aliposema kuwa "system is rigged" na kuna uwezekano wa "voter fraud" ni wao waliosimama na kusema haiwezekani. Kwa vile Hillary kashindwa sasa wao ndio hawaamini system?


Msikilize huyu Mpinga Kristo Obama, siku zote Mungu hamfichi mnafiki, sasa leo hii wao ndiyo wanaolia kuibiwa kura!

 

Brahnman

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
1,715
2,000
Watu bado wanajifariji tu,hii ndo shida ya kuwa na mategemeo makubwa kupita kiasi
 

ngozimbili

JF-Expert Member
Jul 28, 2011
1,375
2,000
Unafikiri hao watalaamu wa computer waliopendekeza Hillary aweke pingamizi wako wenyewe? Unafikri yeye Hillary na timu yake hawafahamu hilo? Nyuma ya Hillary kuna big interest, ma neo-liberals wote wa Dunia hii wako nyuma ya Hillary Clinton, hivyo kuna ishu kubwa sana inakuja na kuna mengi yanaendelea nyuma ya pazia na moja kati ya melengo yao ni kumshinikiza D.Trump abadili misimamo yake yaani kama kumtisha hasa kwenye mambo ya globalization, NATO, Syria, Urusi na uongo wa global warming ambapo watu wanapiga hela ndefu sana, hivyo watamtisha Trump na kumtingisha mpaka a bend, kumbuka Trump ameshasema akiingia siku ya kwanza anafuta free Trade agreement ya Obama TPP ...
Na ktk account yake ya twitter bado mama Hillary anapambana, kuna maslahi makubwa sana yapo hatarini na Trump atatishwa mpaka acompromise au vinginevyo afunguliwe mashtaka na bunge, tayari risasi zimeshaanza, tusubiri mabomu nk huyu mama ni crooke kweli kweli, tusubiri tuone, na maandamano yanaendelea huku yakichochewa na pesa,
 

wise-comedian

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
3,260
2,000
Binafsi napenda Hillary aappeal ili America nayo ionje joto ya jiwe ya uchaguzi kama ilivyo kwa nchi za Africa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom