Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,563
Bila Mzungu Africa yoote Imeteketea kwa HIVSisi bado ni watoto kwenu ata kama tumepishana kauli bado tunakumbuka hisani zenu, mlitutoa Utumwani, mkatufungulia dunia kwa utandawazi, mkatusaidia kupambana na HIV, na Mbu pia.