luziiii Member Joined Jan 14, 2018 Posts 43 Reaction score 49 Jan 15, 2018 #1 Sijawahi kusikia watu wenzetu wakishikana uchawi wapigaramli wala waganga wa kienyeji wakienda kushika wachawi nyumba kwa nyumba kama huku kwetu Mbozi. Je, Sheria ni kali au kwao hakuna miti ya kulogea?
Sijawahi kusikia watu wenzetu wakishikana uchawi wapigaramli wala waganga wa kienyeji wakienda kushika wachawi nyumba kwa nyumba kama huku kwetu Mbozi. Je, Sheria ni kali au kwao hakuna miti ya kulogea?
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,462 Reaction score 110,213 Jan 15, 2018 #2 Uchawi upo hia wanautumia kwenye technology...
MILL8 JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 1,837 Reaction score 881 Jan 15, 2018 #3 ngoja nikae karibu
jebs2002 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2008 Posts 11,581 Reaction score 11,631 Jan 15, 2018 #4 Yupo, anaitwa "Shithole"...